Barua ya wazi kwa Lowassa na Sumaye

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndg.Edward na Ndg.Freddy,

Wakati umefika mkatundika daluga ili muige mfano wa ndg.Kayanza Peter Mizengo Pinda.Nchi haishuhudii chochote kwa ushiriki wenu katika siasa za ushindani nchini Tanzania.

Kwa maslahi yenu MOU mlioingia na Chadema iheshimiwe na ninyi mpumzike.Khaa siku hizi na ninyi mmegeuzwa makamanda wa kutafuta dhamana Kisutu.Tafadhali ndugu zangu tulieni ili kutoa mwanya kwa vijana wenye nguvu wapate fursa.

1. Hakuna jipya mlilonalo kutokana na historia zenu kisiasa.
2. Kauli zenu kuwa ninyi ni wakulima na mliamua kutwaa ardhi za wananchi mkiwa madarakani ili mfanye kilimo baada ya siasa kuwatupa mkono mzitekeleze kwa vitendo.

3.Msijilinganishe na Trump kwa umri wala historia kwani yeye hakuwahi kuwa sehemu ya utawala wa US miaka iliyopita.

4.Tatizo lingine kubwa ni kuwa kipindi mnaondoka madarakani hao mnaowaburuza walikuwa wanawadharau na kuwalaani sana kwa hiyo huenda kuwepo kwenu huko ni karma dhidi ya waliwahi kuwatesa.
 
Boss Wakudadavuwa Inaonesha bado mnawaofia sana. Ila Ushauri ni mzuri sana, Wangefaa wawe Washauri na Kwenye Kamati ya Ufundi. Umri umewatupa Mkono.

Ndg.Edward na Ndg.Freddy,

Wakati umefika mkatundika daluga ili muige mfano wa ndg.Kayanza Peter Mizengo Pinda.Nchi haishuhudii chochote kwa ushiriki wenu katika siasa za ushindani nchini Tanzania.

Kwa maslahi yenu MOU mlioingia na Chadema iheshimiwe na ninyi mpumzike.Khaa siku hizi na ninyi mmegeuzwa makamanda wa kutafuta dhamana Kisutu.Tafadhali ndugu zangu tulieni ili kutoa mwanya kwa vijana wenye nguvu wapate fursa.

1. Hakuna jipya mlilonalo kutokana na historia zenu kisiasa.
2. Kauli zenu kuwa ninyi ni wakulima na mliamua kutwaa ardhi za wananchi mkiwa madarakani ili mfanye kilimo baada ya siasa kuwatupa mkono mzitekeleze kwa vitendo.

3.Msijilinganishe na Trump kwa umri wala historia kwani yeye hakuwahi kuwa sehemu ya utawala wa US miaka iliyopita.

4.Tatizo lingine kubwa ni kuwa kipindi mnaondoka madarakani hao mnaowaburuza walikuwa wanawadharau na kuwalaani sana kwa hiyo huenda kuwepo kwenu huko ni karma dhidi ya waliwahi kuwatesa.
 
Msaidieni Mwenyekiti wenu kutafuta trillion 1.5, mzee anaitafuta mpaka anachelewa kupita na mkasi kwenda kuzindua
 
Ndg.Edward na Ndg.Freddy,

Wakati umefika mkatundika daluga ili muige mfano wa ndg.Kayanza Peter Mizengo Pinda.Nchi haishuhudii chochote kwa ushiriki wenu katika siasa za ushindani nchini Tanzania.

Kwa maslahi yenu MOU mlioingia na Chadema iheshimiwe na ninyi mpumzike.Khaa siku hizi na ninyi mmegeuzwa makamanda wa kutafuta dhamana Kisutu.Tafadhali ndugu zangu tulieni ili kutoa mwanya kwa vijana wenye nguvu wapate fursa.

1. Hakuna jipya mlilonalo kutokana na historia zenu kisiasa.
2. Kauli zenu kuwa ninyi ni wakulima na mliamua kutwaa ardhi za wananchi mkiwa madarakani ili mfanye kilimo baada ya siasa kuwatupa mkono mzitekeleze kwa vitendo.

3.Msijilinganishe na Trump kwa umri wala historia kwani yeye hakuwahi kuwa sehemu ya utawala wa US miaka iliyopita.

4.Tatizo lingine kubwa ni kuwa kipindi mnaondoka madarakani hao mnaowaburuza walikuwa wanawadharau na kuwalaani sana kwa hiyo huenda kuwepo kwenu huko ni karma dhidi ya waliwahi kuwatesa.

deepcover mission not yet completly.....
 
Unataka wakamatwe kamwate au !?
 
Ukweli mtupu, big up ,acha waadhilike , hawaamini kama kweli, lakini Ndio Ukweli wenyewe
 
Wewe ina kuuma nini wakibakia
 
Baada ya kushindwa kuwanunua
 
Hivi Kinana na Mangula walishastaafu mkuu?

Toa kwanza boriti!
 
Back
Top Bottom