Mufti Mkuu: Ni wakati sasa wa kuifanyia Mabadiliko BAKWATA ili kuwaunganisha waislamu wote Tanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,772
Mufti wa Tanzania, sheikh Zuberi amesema ni wakati sasa wa Bakwata kubadilika ni kulifanya baraza hilo kuwa la waislamu wote wa Tanzania na hivyo kuwaunganisha kiroho.

Sheikh Zuber amesema hayo wakati akifunga mkutano mkuu wa Bakwata uliofanyika kwa siku 2 katika ukumbi wa Pius Msekwa, bungeni mjini Dodoma.

Source: Eatv habari!
 
Waanze kwa kuulizia kuhusu masheikh wa uamsho


Maana wakiulizwa mambo huwa hivi
IMG_20180402_194129.jpg
 
Back
Top Bottom