Recent content by SAFARNDEFU

  1. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

    Suala la ajira kwa hii awamu tuliyonayo liweke pembeni kabisa aisee, hali ni mbaya haijawahi kutokea, Sent using Jamii Forums mobile app
  2. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tabora ni watu wabaya sana. Walichomfanya Mkuu wa Mkoa Aggrey Mwanri...

    Huyu si ndie alieanzisha ile biashara? , je ndio unamkubali kwa hilo.? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Harakati za kuunga mkono juhudi za kikokotoo zahamia Mbeya

    Hii inatoa tafsiri kamili kilichokuwa nyuma ya pazia kuhusu hama hama ya wabunge. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Maandamano DODOMA yazorotesha huduma maofisini

    Dooo kwa hilo bango nimeamini kuwa haya mambo ni kweli, nilikuwa nasikia bt nikadhan ni utani, looo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania CAG Assad: Bunge letu lina udhaifu, limeshindwa kuiwajibisha Serikali kwa ufisadi

    Hyu ni profesa, anajua anachokifanya. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Mjadala wa Membe umefungwa rasmi na halitazungumzwa tena!

    Kwahyo hpo mtoto kamuita baba ajieleze, au sio. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

    Aibu nimeona mimi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanyama

    Jamaa wanarushilia mbali ushuzi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanyama

    [emoji1] mi nimecheka avatar yko tu mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa baa wafurahia nia ya RC Makonda kutaka kuruhusu baa kufanya kazi saa 24

    [emoji2] umeniwahi mkuu, wachaga ni kizazi flani hvi teule. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Namba inasomeka vizuri kweli; wabunge, vigogo wa CCM watimuliwa uchaguzi jumuiya ya wazazi

    Huo mshike mshike sio mdogo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Tutaweka utaratibu kwa wakazi wa Dar kufanya manunuzi kwa kutumia Credit Cards ili kudhibiti ulipaji kodi

    Akiifikisha kwa baba itakuwa ndio utaratibu rasmi. Baba ni mtiifu sana kwa mtoto. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

    Naona unaanzisha thread na kujipongeza mwenyewe. [emoji122] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Bongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kwenye soka

    Dula makabila. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. SAFARNDEFU

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Singida awaita watumishi wa umma kuandamana kupongeza maamuzi ya Rais Magufuli juu ya kikokotoo

    Hii inakaribia kufikia ile level ya mfalme Herode. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom