Wachezaji Bongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kwenye soka


magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
4,393
Likes
4,659
Points
280
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
4,393 4,659 280
Said bahanuzi ndiyo yule aliyekosa penalti Cairo wamisri wa al ahly wakakoswa koswa na Yanga kwenye penalti wakati golikipa Dida aliokoa penalti kadhaa
Dah hii game tungepenya tungezima kelele za Mbumbumbu fc "Sisi ndio timu pekee ya Tz kuwatoa mabingwa watetezi". Iliniuma sana.
 
Mtoto wa nzi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
4,544
Likes
3,803
Points
280
Mtoto wa nzi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2012
4,544 3,803 280
Pale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo.

Ukifika kwenye kikosi cha Kagera Sugar wanankurukumbi, utakutana na George Kavila Master. Ni karibia miaka 20 sasa anacheza ligi kuu ya Tanzania. Ni moja kati ya wachezaji wakongwe na wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja.

Lakini habari ni tofauti kwa baadhi ya wachezaji wengine. Kuna wachezaji wa kibongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kabisa katika ramani ya soka.

Leo, tujikumbushe list ya wachezaji hao.

Mimi naanza na hawa wafuatao...
Rashid Gumbo

Said Bahanuzi

Jerry Tegete

Endelea na wewe...Sent using Jamii Forums mobile app
Jery Tegete mbona bado yupo anacheza ligi kuu
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
5,099
Likes
4,033
Points
280
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
5,099 4,033 280
Kuna Moris waliwika Tz prison, Yanga akafail
 
Kijibabu

Kijibabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Messages
230
Likes
266
Points
80
Kijibabu

Kijibabu

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2016
230 266 80
Kuna Moris waliwika Tz prison, Yanga akafail
Huyo ni Harry Morris, kaka yake alikua anaitwa Oswald Morris. Oswald alichezea tz prisons kwa mafanikio mpaka akapewa cheo cha captain na jeshi la magereza, japo Simba na Yanga walimtaka sana lakini aliwagomea. Harry yeye alipohama basi na nyota yake ikafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
5,099
Likes
4,033
Points
280
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
5,099 4,033 280
Huyo ni Harry Morris, kaka yake alikua anaitwa Oswald Morris. Oswald alichezea tz prisons kwa mafanikio mpaka akapewa cheo cha captain na jeshi la magereza, japo Simba na Yanga walimtaka sana lakini aliwagomea. Harry yeye alipohama basi na nyota yake ikafa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa kumbukumbu, ilinipotea kidogo
 

Forum statistics

Threads 1,262,466
Members 485,588
Posts 30,123,046