mtoa mada hujui kuwa vyama vimebadilishwa majina hapa nchini??
kuna chama cha uongozi wa kutumia dola CCM na chama cha maendeleo na wananchi CDM
CCM inatumia dola kujiongoza ndio maana inaitwa chama dola na CDM ni chama cha wananchi na maendeleo kwa sababu ya michango ya hivi karibuni kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.