Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,575
- 12,368
siku izi wasira naye anatabiri, namkumbuka kwa jibu lake baada ya kuulizwa na wnanchi wa bunda kuwa wananchi hawana maji, alijibu "mnasema bunda hakuna maji sasa dawa huwa mnakunywa na nini"Chadema ilianza kufa zamani haya ni mazishi kumbuka utabili wa Stephen Wasira
Sent using Jamii Forums mobile app
umekisoma lakini ulicho kiandikaKama majina yanatambulisha uraia basi wewe na wengine mngekuwa kule ziliko Alqaeda, Alshabab au Boko Haram au Rawalpindi...
Ndiyo... Una pepo la ubaguzi linakuandama...
Kuhama si tatizo... Tatizo ni je waendako ni salama kuliko watokako??Hadi mende na panya wa pale ufipa watawahama.