Recent content by sad

  1. S

    nauliza

    nimeandikiwa waiting for approval. je sitakiwi kuomba third round application? au niendelee kusubiri
  2. S

    World Bank nao wasitisha misaada kwa Tanzania

    afadhali misaada isitishwe kwani nayo wanaiba tu
  3. S

    Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

    mimi mwenyewe shuleni kwangu hakuna mwanac.c.m hata mmoja. mshahara wenyewe wanaongeza miambili na mdaraja yenyewe hawatupandishi nani ataipendenda serikali ya aina hii. inajari matumbo ya watawala na kupiga wananchi kwenye maandamano ya amani.
  4. S

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    haya ni ya kawaida kwani ukiona hivyo bado sisiemu hawapumui kwa chadema. tekelezeni sera zeni chadema haiwahusu. hao ni wasaliti wa chama wakishirikiana na sisiemu lumumba. na yataendelea matamko hayo uzuri yamezoeleka
  5. S

    CHADEMA yapata msaada wa mil 700/= kutoka Denmark

    watu humu wamejaa chuki na slaa utafikiri chadema ni salaa. ho wote wanfikiri kwa kutumia tumbo
  6. S

    Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    walikuwa wapi walipodai hati?
  7. S

    Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    walikuwa wapi muda wote kuonesha walipoidai kwenye kamati mpaka upepo ubadilike
  8. S

    CHADEMA kukutana na wanahabari leo mchana

    chadema chama makini hakiogopi mtu. mimi si mwanachama ila napenda vuguvugu la chadema
  9. S

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    tuna taka katibu lakini ajue kwamba hatumchagui kwa dini yake. kuwa mwislamu au mkristo sio kigezo. suala ni shule na weledi wa hali ya juu. vinginevyo tutaanza kuchakachua elimu sana kwa minajili ya kidini. huo ni ujinga nkubwa
  10. S

    Nini tofauti kati ya muungano na shirikisho?

    wa zanzibar ni ndugu zetu. cha msingi tukubaliane kwa amani aina ya muungano tutakao. hakuna kshindi kwa hili.sisi sote ni ndugu watoto wa babu mmoja karume na nyerere
  11. S

    Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

    mbona watu walikuwa wengi? walifanya mkutano wa kawaida kwani pembeni kuna mkutano wa dini. hivyo walipunguza mzuka ili kutovuruga mkutano wa dini pembeni yake.
  12. S

    SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    kazi ya sheria ni kuonyesha dhambi. wewe unaesema yesu alivunnja sabato wewe ni mwongo.mimi naamin i kwamba yesu hakuja kutangua torati wala manabii mpaka yote yatimie, yodi moja ya nukta haiwezi kuondolewa. paulo anasema nisingetambua dhambi bila sheria kuwepo. ukitaka nikupatie mafungu
  13. S

    Picha na maelezo: Sakata la Mbunge wa CHADEMA alivyokoswa koswa kuuwawa na kisha yeye kukamatwa

    tmebaki na mahaka peke yake kudai haki zeti. bunge limehujumiwa na wanac.c.m na serikali ndio wabambikizia kesi. yote haya wanafanya kwa maelekezo ya usalama wa taifa na c.c.m yao. nassari alipigwa kila mtu anajua kwamba ni green gurd walimpiga sasa kwanini wanambambikizia kesi. kwa heshima ya...
  14. S

    Picha na maelezo: Sakata la Mbunge wa CHADEMA alivyokoswa koswa kuuwawa na kisha yeye kukamatwa

    huyo lwassa ndiye anayedai urais. nani atampatia kwa uhuni huu?tukumpatia nchi si itakuwa hatari zaidi. lwassa na mwigulu ni kundi moja. wote ni wamafia. wapo tayari kuua watu kama hawakubaliki ili walinde maslahi yao. kumbuka hata kina mwakyembe na sitta waliwahi lalamika kuhusu kundi hili la...
  15. S

    Mwigulu Nchemba aivaa CHADEMA na Dr. Slaa

    hizo ndizo siasa za kina mchemba kwenda kwenye nyumba za ibada kueneza siasa. kama wangeenda chadema kanisani au msikitini ungesikia mwigulu akisema chadema wameanza kutumia makanisa. kanisani ni sehemu ya ibada na kusoma neno la mungu. mwigulu si mchungaji au shehe. amechangia hela za kutoka...
Back
Top Bottom