Mwigulu Nchemba aivaa CHADEMA na Dr. Slaa

MH>MWIGULU LAMECK NCHEMBA AMVAA DR.SLAA NA CHADEMA YAKE,AMUSIHI DR.SLAA AREJEE KUCHUNGA KONDOO WA BWANA KWA SABABU MUNGU ANASEMA HATAKAMA DHAMBI ZAKO NI NYEKUNDU KAMA DAMU,ATAZITAKASA NA KUWA NYEUPE KAMA THERUJI.

AFANIKISHA HARAMBEE YA TSH.MILIONI 19,AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE IRAMBA MAGHARIBI.

Naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ameshiriki kikamilifu kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa wilaya ya singida Vijijini,kata ya Kijota Usharika wa Mijuhu jimbo la Mashariki Dayosisi ya kati KKKT.

Mbunge huyo amefanikisha upatikanaji wa Tsh.Milioni 19 na laki tisa na themanini.Pia amefakisha upatikanaji wa viti 500 vya plastic kama hatua ya awali katika kufanikisha ujenzi wa kanisa hilo.

Ikumbukwe Mbunge huyo anayevuma kwenye medani za siasa yawezekana kuliko mbunge yeyote kwa sasa hapa nchini,yupo jimboni kwake kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.Jana alianza kwa kufanya vikao vya ndani na madiwani na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.

Pia siku ya jana alitumia kuhamasisha michezo jimboni kwake na wilaya mpya ya Mkalama ambapo Mbunge huyo alishiriki kucheza mechi ya mpira wa miguu akiwa upande wa madiwani.

Kwenye harambee ya leo mbunge huyo Mh.Mwigulu Lameck nchemba madelu alitumia nafasi kuongea na washarika na wananchi wa kata ya kijota,kijiji cha Ikuwi kuwaomba kuachana na tabia ya kulishwa maneno na wanasiasa na viongozi mbalimbali kuhusu serikali yao eti haifanyi kazi.

Amesisitiza kuwa endapo wananchi na viongozi wa vyama vya siasa wangemrudia mungu,wangejikita kusaidia ujenzi wa nyumba za ibada,kushiriki kwenye huduma za kiroho leo hii Tanzania tusingekuwa na aina hii ya viongozi wa vyama vya siasa hasa upinzani wenye uroho wa madaraka,wanaomwaga damu za watanzania ili tu wapate madaraka ndani ya nchi hi.
Huyo Juha mwenzio unamfagilia sana,kunani??!!!!!Nadhani ungesema pia kuwa ndiye mbunge aliyeendeleza zaidi Jimbo lake kuliko mwingine ye yote!!!!!!!
 
Kwani si ndio huyu aliyekimbia mdahalo/majadiliano katika kipindi cha KIPIMA JOTO CHA ITV Ijumaa iliyopita, akamuacha yule kijana wa Tendwa akijiumauma kama kapigwa na baridi ya Neg 37.
 
Mwigulu wako kawaweka pabaya Polisi kwa unyama wake..angalia wanavyoteseka kutoa majibu mepesi

Jeshi la Polisi limeendeleza ngonjera katika tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda (pichani), baada ya kushindwa kutaja watuhumiwa wa tukio hilo la kinyama kama lilivyokuwa limeahidi awali.

Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, alishindwa kutaja majina ya watu waliohusika katika matukio mbalimbali likiwamo la Kibanda ingawa alisema uchunguzi wake umeanza muda mrefu.

Mngulu akizungumzia tukio la kutekwa na kuteswa kwa Kibanda na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Stephen Ulimboka, alisema uchunguzi wa matukio hayo bado unaendelea.

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema amesema upelelezi wa kesi ya kutekwa, kuteswa na kutupwa katika msitu wa Mabwepande, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka bado haujakamilika.

Mbali na Dk. Ulimboka, IGP alisema kesi nyingine zote za aina hiyo pamoja na za mauaji ya watu mbalimbali, akiwemo Padri wa Kanisa Katoliki la Minara Miwili lililopo Mji Mkongwe Zanzibar, Evaristus Mushi (56), uchunguzi wake unaendelea.

kibanda jana kasema kuwa karamu yake ndiyo imesababisha atekwe lakini vyanzo vya kuaminika vinasema kibanda katekwa na wamiliki wagazeti alikokuwa anafanyia kazi kabla hajahama.
 
mwigulu amemnyima raha slaa mda wote anamwaza mwigulu.
 
MH>MWIGULU LAMECK NCHEMBA AMVAA DR.SLAA NA CHADEMA YAKE,AMUSIHI DR.SLAA AREJEE KUCHUNGA KONDOO WA BWANA KWA SABABU MUNGU ANASEMA HATAKAMA DHAMBI ZAKO NI NYEKUNDU KAMA DAMU,ATAZITAKASA NA KUWA NYEUPE KAMA THERUJI.

AFANIKISHA HARAMBEE YA TSH.MILIONI 19,AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE IRAMBA MAGHARIBI.

Naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ameshiriki kikamilifu kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa wilaya ya singida Vijijini,kata ya Kijota Usharika wa Mijuhu jimbo la Mashariki Dayosisi ya kati KKKT.

Mbunge huyo amefanikisha upatikanaji wa Tsh.Milioni 19 na laki tisa na themanini.Pia amefakisha upatikanaji wa viti 500 vya plastic kama hatua ya awali katika kufanikisha ujenzi wa kanisa hilo.

Ikumbukwe Mbunge huyo anayevuma kwenye medani za siasa yawezekana kuliko mbunge yeyote kwa sasa hapa nchini,yupo jimboni kwake kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.Jana alianza kwa kufanya vikao vya ndani na madiwani na viongozi mbalimbali wa chama na serikali.

Pia siku ya jana alitumia kuhamasisha michezo jimboni kwake na wilaya mpya ya Mkalama ambapo Mbunge huyo alishiriki kucheza mechi ya mpira wa miguu akiwa upande wa madiwani.

Kwenye harambee ya leo mbunge huyo Mh.Mwigulu Lameck nchemba madelu alitumia nafasi kuongea na washarika na wananchi wa kata ya kijota,kijiji cha Ikuwi kuwaomba kuachana na tabia ya kulishwa maneno na wanasiasa na viongozi mbalimbali kuhusu serikali yao eti haifanyi kazi.

Amesisitiza kuwa endapo wananchi na viongozi wa vyama vya siasa wangemrudia mungu,wangejikita kusaidia ujenzi wa nyumba za ibada,kushiriki kwenye huduma za kiroho leo hii Tanzania tusingekuwa na aina hii ya viongozi wa vyama vya siasa hasa upinzani wenye uroho wa madaraka,wanaomwaga damu za watanzania ili tu wapate madaraka ndani ya nchi hii.

Mh.Mwigulu nchemba amekwenda mbali zaidi kwa kulaani vikali kauli ya kiongozi wa CHADEMA Dr.slaa yakuwambia viongozi wa dini waache kuombea amani ya nchi.Amesema viongozi kama hao ni wakupuuzwa kabisa kabisa,na niwazi Dr.slaa na chama chake hana nia njema kwa nchi yetu.Ni kwasababu aliachana na misingi ya dini na kiroho ndio maana uwezo wake wa kufikiri kuhusu amani ya nchi ni hafifu kupita kiasi.

Leo Mh.Mwigulu Nchemba ametembelea ujenzi wa barabara mbali mbali ndani ya jimbo lake.Akiwa ameambatana na DC na Mkurugenzi wa wilaya,Mh.Mwigulu Nchemba ameona ujenzi wa barabara kata ya Kidalu barabara inayounganisha wananchi na makao makuu ya wilaya.

Ni barabara inayojengwa na TANROAD kwa kiwango cha changalawe.Pia amezungukia sehemu kadhaa za barabara zinazotajwa kuwa ni korofi kipindi cha masika,lengo likiwa ni kujenga miundombinu safi kabla masika hayajaanza.

Katika kuonesha mshikamano wa kiutendaji uliopo ndani ya jimbo la Iramba,Mbunge huyo aliambatana na madiwani wa kata na makatibu wake pamoja na viongozi wa serikali + Injinia wa wilaya ilikushauriana namna ya kufanikisha ujenzi imara na bora wa miundombinu ya barabara ndani ya jimbo la Iramba.

Ajabu la sifuri duniani.
 
Humo kwenye RED unaimanisha umesahau kuwa ulishaileta humu, au ni mtindio wa ubongo, Au bado unaongelea Ilongero?
Au hiyo ndio "YAH" yako katika uandishi wa barua
?
 
hizo ndizo siasa za kina mchemba kwenda kwenye nyumba za ibada kueneza siasa. kama wangeenda chadema kanisani au msikitini ungesikia mwigulu akisema chadema wameanza kutumia makanisa. kanisani ni sehemu ya ibada na kusoma neno la mungu. mwigulu si mchungaji au shehe. amechangia hela za kutoka kwa lwassa kwani ni yeye ni kundi la lwassa. hela hizo zimetoka kwa mzee wa monduli. ni mwendelezo wa kutumia nyumba za ibada kwa makundi ya urais c.c.m. shehe mkuu amekataza kutumia nyumba za ibada kwa mambo ya kisiasa na rais wenu wa c.c.m.(ingawa kikwete ni msanii wa kauli) mwigulu na lwassa wana kampeni moja. zaidi mwigulu ni muuaji, mwogo na mnafiki namba moja. nilitegemea anaenda kanisani kutubu kumbe kufanya siasa kwa harambee. hachomoki kwani dhambi hii lazima imtafune mwenyewe kwani amemwaga sana damu za watu. nasikia aliomba mwaliko ili akaweke kete yake ya siasa kwani umaarufu umeshuka ghafla
 
Makanisa na misikit yanayo wapokea hawa wauaji na mafisad na kupokea fedha haramu kutoka kwao cjui wakirud kuomba msaada kama wao walivyo wasaidia 2015 mtawambia nn?

Hawa wachungaji wanatia aibu na ni waganga njaa. Mnahubiri injili ya tumbo. Ninyi ndio mnaliolifanya jina la Bwana litukanwe na mataifa. Ole wenu waandishi na Mafarisayo. Wanafiki. Mnapokea fedha ya aibu badaa.ya kuwaambia watu watubu uovu wao. Itawafaidia nini kupata jengo la ibada na kisha kwenda jehanum ya moto? Ole wenu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
CHADEMA sasa imekuwa nguo?

[h=2]
icon1.png
re: Mwigulu Nchemba aivaa CHADEMA na Dr. Slaa[/h]
 
Chemba lenye harufu ya damu,nenda Arusha damu za watoto uliowauwa na wote pamoja na majeruhi wa bomu lako zinakulilia.,chain yako ya mauaji ni ndefu kwa sasa na watanzania makini wanalijua vyema.
 
Hakuna la maana hapa. eti mbunge bora kwa yapi? anahangaika na chadema hadi kanisani. hovyo sana savimbi nchemba.
 
Back
Top Bottom