Recent content by Sachedi

  1. S

    Maisha ya Papa Francis

    Mambo yanayotendeka mjengoni kwao ni ya siri sana na ukiyafuatilia unaweza usiamini
  2. S

    Maisha ya Papa Francis

    Huwez kuishi maisha matakatifu pasipo kumshirikisha MUNGU na MUNGU amewaagiza wanafunzi wake (wale wanaomjua kama huyo papa) "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu....." Mambo mengi sasa hivi yako kwa mtandao. Huyo papa ana yake
  3. S

    ong: Ladies and Girls be Strong

    Ni kazuri sana na waimbaji wapo poa
  4. S

    Jua furaha yako iko wapi, itafute

    Furaha huja pale unapokuwa na amani na watu wote, uwe na uwezo wa kutumia maneno haya: Pole, samahani, asante, karibu na mengineyo yanayoonyesha hali ya kujishusha. Alafu kuwa mbunifu ili kuongeza kipato chako alaf tambua mahitaj ya wanaokuzunguka na wakihitaj msaada wapatie kadri ya uwezo wako...
  5. S

    CHADEMA watoa msaada Bukoba

    Mbwembwe na mbinu za wanasiasa! Kunapokaribia uchaguzi tu lazima misaada mingi itolewe kwa wananchi wa kipato cha chini
  6. S

    Tanzia: Mtoto afa baada ya mama yake kumnywesha sumu ya mende badala ya dawa ya minyoo

    Maisha yake yaliosalia hapa duniani yatakuwa na huzun sana kwa kitendo hicho, ingawa ni bahati mbaya lakini ingekuwa ni ndugu au dada wa kazi kasababisha kifo cha huyo mtt angeozea jela. Ila tushukuru MUNGU kwa kila jambo lakn uzembe unapotoa tujifunze
  7. S

    Hivi nyoka na binadamu, nani hampendi mwenzie?

    Binadamu ndio mkorofi sana
  8. S

    Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    Nywele zangu zina mba nmetumia aina mbalimbali za mafuta lakn hauishi za kichwani lakini
Back
Top Bottom