Recent content by sacha

  1. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Naomba mawasiliano yako na mm kama hutajali plzzzzz
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu Hataki NIOGE nk nk!!...!

    ucjali sana mimba ni kipindi cha mpito...yataisha tu mimba ikikomaa
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Re: Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na Wala Simu Zangu Hapokei

    mmhh pole sana jmn
  4. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya mchele mbichi kwa mjamzito

    Habari waungwana...mm ni mjamzito wa miez kadhaa hv..tatizo langu ni kutafuna mchele mbichi jamn..na nimeanza hv karibun kila baada ya masaa 6 hv lazma nijisikie kuutafuna mchele..je kuna madhara yeyote juu ya hili..na km ndio nn nifanye mbadala ili niache kabisa hii tabia.???
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika Macaroni

    Jaman mwenye kujua namna ya kupika macaron ya nyama ya kusaga..ama sphaghett anisaidie..maana napenda sana huu msosi ila cjawah kuupikaa....
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ajira

    Haa haa....huna shida ya kazi hapa kuna nafassi ila take home n 400000...kumbuka mshahara unapenda kuendena na viwango..km vp endelea kusubiri tu kwingne kwa laki 6
  7. S

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupika mtori

    Ahsante ntafanya kwa maelekezo...samahan lazima ndizi mshare...?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupika mtori

    Msaada jaman...naomba kuelekezwa namna ya kuandaa mapishi ya mtori..
  9. S

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa unawaka maeneo ya Mwenge kwenye Stendi ya Mabasi

    Sasa ccm imehusika vp hapo...ushabiki wa kisiasa kwenye majanga hauna maaana!!!!
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona Msichana anakwambia hizi sentensi wala usijisumbue kumuoa...

    Na huyo demu atakuwa kaona hamna dalili za ndoa hata miaka 20 hapo!!!
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barua kwa Mchumba Wangu (Kama haikuhusu usisome)

    Haaa haa 5 years...poleeee
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

    Hongera ww unajua..ila km ulimpenda nina hakika ungemfundisha..coz naamin hata ww hukuzaliwa unajua......
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana?

    Mapenzi yamepungua km c kuisha kbs!!!haiwezekani mnakaa mji mmoja na umpendae umalize mwezi hamuonani eti ubusy!!!!!hakuna kitu hapo chunguza!!
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania List ya madem inanitesa

    Mkuki kwa nguruwe daftar kwako lilifuata lini?au ww mwalimu wa rafiki yako ulikuwa unamsahihishia!!!dawa n kubadili tabia tu hamna njia nyingne!!!na sion cha kuumia ww km anakufuatilia na ww hufanyi hayo!!!ww mwache akufuatilie atachoka mwenywe atakaporidhika!!!
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

    Ukome kuonja onja!!!sio chakula hicho kumbe unae mke unaeishi nae ulikuwa unahangaika nn ss??
Back
Top Bottom