Ellylicious
Member
- Apr 13, 2012
- 42
- 7
she needs delivarance
Wakuu salaam,
Naomba ushauri wenu hapa kwenye hili jambo linalonitatiza sana kwa sasa.
Niko kwenye uhusiano na huyu Malkia wangu kwa muda wa miaka sita sasa anaujauzito,lakini toka amekuwa katika hali hiyo Nyumba imekuwa chungu kwangu...
1.Hataki nioge yaani nikirudi kazini suala la kuoga halipo kwahiyo mm huwa inabidi nikienda kazini asubuhi nioge huko huko,anasema kwamba anataka asikie harufu yangu kwahyo huwa analalaga karibu na kwapani ili asikiwe tu ile harufu...
2.Siku nyingine nikirudi Nyumbani nafukuzwa hataki kuniona bila sababu muda mwingine huniambia "nanuka" pafyumu sasa yeye hataki hiyo harufu hata kama sijajipulizia hii huwa inaniuma sana kwasababu huyu huwa ni zaidi ya mpenziu wangu ni RAFIKI yangu mkubwa...
Sasa akinifukuza nikitoka haitapita nusu saa ananipigia simu nirudi Nyumbani kwanini namucha peke yake?!anadai siku hizi simpendi
3.Kuhusu Chakula
Juzi kaniambia anahamu ya Kuku tumetoka kwenda barabarani tumenunua kuku tumefika Nyumbani nampikia Kuku anasema Yeye anataka Miguu tu!na Kuku mwenyewe hajala kala kamguu kamoja na hakukamaliza...hicho ni kisa kimoja tu vipo vingi!
Wakuu,
Yapo mengi yananiumiza sana hasa muda mwingi nashindwa kuwa nae kutokana na Ugomvi mara kwa mara japo nimejitahidi kuvumilia,kuna wakati natamani hata arudi kwao ila sasa hawezi kukubali kuondoka na mimi siwezi kuvumilia awe mbali nitakosa mtu wa kuongea nae ye ndo Rafiki yangu mkubwa(mimi sina Marafiki sana hili ni tatizo ambalo nalitafutia ufumbuzi)
Naomba mnisaidie ushauri hapa nifanye nini sasa ili niweze kuishi nae kwa Amani?ndo itakuwa hivi hivi mpaka miezi tisa itimie au itafika kipindi ataacha?
Samahani kwa maneno mengi ni Pressure tu inanisumbua.Asante
Sent from BlackBerry
Mkuu,
Huwa akinitimua home au tukigombana anampigia simu Rafiki yetu sote tukifahamiana toka naanza nae uhusiano huyo ndio huwa anamuelewa na kumtuliza watapiga story na kutaniana mpaka hasira ziishe ndo kidogo maelewano yanapatikana...jamaa asipokuwepo napata shida sana
Bob Lee Swagger
Unataka kuniambia atakuwa hivyo mpaka anajifungua?!si nitaisha?!

huyo wa kwake anajifanyisha tu hamnaga kitu kama hicho!!kasikia tu kijiweni na saloon basi anaaply hebu mkaripie uone asipofyata mkia wake atakuchoma na kisu useme ni miiiimba hiyoooo.hata tembo anabeba yake 2years na hana mbwembwe
nina watoto watatu unaniambia niteme mate wanawake wengi wanajifanyisha sana tena kwakusikia maneno kwa watu,kudeka deka nikujifanyisha hakuna chote kinachochochea wewe umchukie mtu ,wala kubadili way of living ninachojua kinachokifu ni chakula tu hata mimi ilinitokea sinywi maji 9month wala nyama nk.mengine zaidi ya msosi ni mbwembwe tukama wewe ni mwanamke na ulishabeba mimba na hukupata kasheshe yoyote shukuru Mungu, km bado hujabeba mimba heri unyamaze ndugu yangu na kama wewe ni mwanaume nyamaza kabisa mana mtu huwezi kujifanya miezi tisa ukaishi maisha artificial watu wanaongea kwa kuwa wana evidence... hata mimi zamani nilijua watu wanadeka tu na kupretend ... yaliponikuta live mpk leo namuhurumia mtu akiwa na tumbo na namwombea amalize hyo safari salama awe ana shida au hana... naomba tu uteme mate chini uombe yasikukute..