kosa kubwa ulilofanya ni kumpa yeye akakate tiketi,,,wenzako huwa hawaagi,,ungeendelea kuwa nae then ungemtoroka bila kujua siku unayoondoka, ukifika Tz unawasiliana nae kumweleza ukweli. nakushauri fanya juu chini badilisha tarehe ya safari ikiwezekana weka ya siku za karibu kabla ya tarehe ya...