Recent content by Sabrina iddy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Housegirl anataka nimuoe wakati aliishia Darasa la Tatu na miminatarajia mwakani nivae Joho la Degree

    utamfundisha kidogo kidogo..... Hakuna aliezaliwa anajua
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi ni app gan nzuri kwa ajili ya ku protect Simu isiibiwe?

    kwakweli hilo ndo muhimu
  3. S

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    hivi kuhusu nmb mobile kama nikitaka kuibadili namba hio je ninahaja yakuenda bank au kuna menyu naweza baridi? Maana namba nliosajilia before imefungiwa nasiihitaji tena.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi ni app gan nzuri kwa ajili ya ku protect Simu isiibiwe?

    kwahio imei pia itakuwa useless mkuu???
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung Galaxy J7 core Price 190k Good condition 16 GB internal memory Nipo Dar es salaam Contact 0768689812
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

    ohhh mkuu hapana ni 190 hii
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kununua viatu vya kimasai kwa bei ya jumla

    tupe bei mkuu tujitathmini
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

    Samsung J7 core Storage ni 16GB 195k au 190 nakupa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Pochi Za Mtumba zinapatikana hapa

    ongeza picha na uweke na bei mkuu sio wote wana access ya kwenda Instagram
  10. S

    JamiiForums Tanzania Karibu upate bidhaa zetu, Duka letu lipo Ukonga Dar Es Salaam

    Ni mita ngap mkuu sasa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata kibarua cha kuniwezesha kupata angalau Tshs 7000 kwa siku?

    Kwa kweeeli wala hujakosea .... 7000 kwa siku simchezo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mateso ya Masheikh wetu

    Allah akulipe kwa hayo maneno. Na assume ungekaa wew miaka 7 au ndugu yako.... sio kucoment coment tyuu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mateso ya Masheikh wetu

    Allah awafanyie wepesi watoke.... Allah atusamehe sisi pia. Aaaaamiiiin🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Back
Top Bottom