Wadau hivi ni app gan nzuri kwa ajili ya ku protect Simu isiibiwe?

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
habar wakuu, bila shaka umu jukwaan kuna wajuvi wengi wa mambo, ivyo natumai nitapata jibu la swali langu, kwa yeyote anayefaham application nzur ya ku protect simu isiibiwe naomba anijuze jaman ili niweke kwenye cm yangu. aksanten naomba kuwasilisha
 
sawa kabisa mkuu! bilashaka iko ndicho nilichokuwa namaanisha, aksante kwa kuniweka sawa sasa kama kuna app nzurk unaifaham naomba unijuze tafadhali
 
sawa kabisa mkuu! bilashaka iko ndicho nilichokuwa namaanisha, aksante kwa kuniweka sawa sasa kama kuna app nzurk unaifaham naomba unijuze tafadhali
Kikubwa ni kutùnza IMEI ya simu husika,
Ikiibiwa unasaidiwa na Jeshi la POLISI kupata PRINT OUT hiyo inaonesha namba ya mtumiaji wa simu yako, mahali alipo na namba za watu anaowasilana nao mara kwa mara, kwa details hizo ni rahisi sana kumpata/kumkamata mwizi wa simù yako pendwa
 
Hakuna app itakayo kusuaidia kupata simu yako 100%. Jamaa akifanikiwa kuzima data na bila ku connect wifi ndo basi tena. Hutaiona tena. Njia nzuri ni kutunza IMEI number yako tu. Polisi sikuhz wanatafta simu kirahisi.
 
mbona kuna mtu kaniambia kuna ant theft, easy finder na fnd my phone je! ni kwel au kanidanganya?
 
kwahio imei pia itakuwa useless mkuu???
Imei ni useless kwako, ila ni muhimu kwa mapolisi kma uki report. Wataenda check hyo imei number inatumiwa na line gani au line gani ya mwsho kuwa hewani na hyo imei then wanamtafta. Kukwepa imei hyo mwizi labda asije washa hyo simu kabisa na asi je ku connect kwenye net mpk abadilishe imei.
 
Njia za kiswahili
1.ficha kwenye begi na ulibebe mbele , ama kwenye bukta ya ndani uliyovaa Kama uko mitaa ya wenye mji😂😂😂 Kariakoo, Tandale kwa tumbo, kigogo, mburahati, Mbagala kuu na mwananyamala.. bila kusahau keko magurumbashi .
2.Epuka kutumia simu usiku kwenye maeneo usiyoyajua. Maana watakavyopita nayo hutaamini , Tena ukiwa makin unaweza kuta Ni vijana wa mtaani kwako au mwanao wa wakumzaa.
3.Na la mwisho ili usiibiwe simu, epuka kununua simu mkononi.. utakuwa umenunua wizi na wakija wenye simu yao uwe na yakuongea wakuelewe.
Hayo ma imei na mafinga print watu wanatekenya tu dakika 2 inakuwa ya Kariakoo
 
mkuu kuna app moja inaitwa avast,lakin katika avast kuna kupengele ambacho sasa hivi wamekiweka unalipia ili kifanye kazi,kinaitwa avast ant theft,nilishawahi kuitumia kipind iko free yenyewe ni nzur na ilishanisaidia kuipata simu,yenyew utaset namba yako ya simu unayoitumia,namba za ndugu zako wa karibu,kwenye iyo app ikitokea tu umeweka line nyingine ita wa alert zile namba zako za karib kwamba simu yako imebadilishwa line na wanawatumia phone no ya line iliyowekwa,lakin pia wanatuma na location ya simu ilipo kwa muda huo,ukimpata mwiz ambae sio mjanja unaweza ukaipata,ila wez weng wanakimbilia kuflash simu,akiflash ni changamoto
 
habar wakuu, bila shaka umu jukwaan kuna wajuvi wengi wa mambo, ivyo natumai nitapata jibu la swali langu, kwa yeyote anayefaham application nzur ya ku protect simu isiibiwe naomba anijuze jaman ili niweke kwenye cm yangu. aksanten naomba kuwasilisha

Unataka application ili simu isiibiwe au ikiibiwa uweze kuipata kiurahisi
 
Kuna Apps ambazo kama mwizi hatakuwa mjanja wa kuweza kuflash kwa kubypass passwords,unaweza kumtrack mwenyewe mpaka ukamkamata,cha muhimu simu iwe ON na location iwe ON...
 
habar wakuu, bila shaka umu jukwaan kuna wajuvi wengi wa mambo, ivyo natumai nitapata jibu la swali langu, kwa yeyote anayefaham application nzur ya ku protect simu isiibiwe naomba anijuze jaman ili niweke kwenye cm yangu. aksanten naomba kuwasilisha
Unaweza tumia Ant theft zinazohitaji Root Access zitakusaidia kulinda simu na kuformat ila hazitakusaidia wakiflash.

Zipo za kulipia kama Cerberus na za bure zipo sijui kama Avast mpaka leo ipo.

Cerberus inasaidia hadi kuzima simu atashindwa hadi asubirie chaji iishe, hivyo kukupa mda kidogo wa kumtrack pale unapoibiwa.

Ugumu wake ni kwamba zinahitaji simu iwe na root na pia zinataka utaalam kidogo wa kuset, na simu nyingi ukiroot warranty nayo inaondoka.
 
Ndugu yangu, from experience, kutokana na uelewa na ukuaji wa teknolojia, imekuwa rahisi kutrack simu iliyoibiwa au kupotea kwa kutumia imei, hivyo basi, mwizi akiiba siku hizi huuza simu kama spea kwa mafundi simu. Hapo fundi atachukua vitu muhimu kama kioo, spika, charging system nk, motherboard hutupwa kuepuka kukamatwa na polisi.
Hivyo kwa ushauri wangu mzuri ni kukata bima tu ili ulipwe incase ukiibiwa au kupoteza. Tafuta makampuni ya bima yapo yanayokubali kuweka bima za vifaa hadi simu.
Find my iphone, sijui imei, sijui nini ni mbwembwe tu, mtu akizima data kwisha habari yako.
 
kwakweli hilo ndo muhimu
 
Back
Top Bottom