Recent content by sabato

  1. S

    JamiiForums Tanzania DC Chemba kwanini asiondolewe kazini ili apate muda mzuri wa kushughulikia talaka za wake zake huko Dsm ?

    mambo ya binafsi hayo,kwa nini unayaleta hapa? Mpuuzi wewe,lete mada za kusaidia jamii
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mambo Haya Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Fedha Ndiyo Yanakufanya Uendelee Kuwa Masikini.

    Uncle Sam system uncle Sam system
  3. S

    JamiiForums Tanzania Elimu kutoka Tanesco

    Mshana tueleze je unaifahamu vipi sehemu ya internet iliyofichwa,nipo interested kwenda kutembea huko
  4. S

    JamiiForums Tanzania Membe ameanza kutupa karata zake!!!

    UNAFIKI HUO
  5. S

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania haukupanuka kwa 7%

    Benki ya dunia waongo wanamwonea wivu Rais wetu,wote tunaona jinsi kazi inavyokwenda vizuri,mwenye macho aambiwi tazama tuendelee kumuamini Rais wetu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

    Kuumwa kila binadamu anaweza umwa, Biblia inasema...Hata Elisha aliposhikwa na ule ugonjwa uliomuuwa....
  7. S

    JamiiForums Tanzania Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

    Nimekupata Mshana, siku moja nilikuwa nasikiliza mahubili ya Nabii Frank Kilawa,yeye anasema aliiombea chumvi iwe na nguvu za Mungu,lakini pale kanisani washirika wake wawili walikuwa wanagombania mipaka yao huko shambani kwani walikuwa wamepakana,hivyo yule mshirika mmoja akachukua chumvi ile...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

    Tiba ya chumvi,ni ipi hiyo,kama unayo makala ya chumvi nirushie Mshana
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Mtwara afariki Dunia

    Du amenikumbusha seminary Namupa,alishawahi kunishika chitumba nikiiba mapera,apumzike kwa amani
  10. S

    JamiiForums Tanzania JF HARDtalk na "Mshana JR"

    Funguka Mshana unajua mada zako zinafurahisha
  11. S

    JamiiForums Tanzania Damu ya hedhi na ibada za kiimani

    Mshana ni kweli kisiwa cha gamboshi kipo katika ulimwengu wa roho wa wachawi,kwani kuna msukule mmoja ambaye alirudishwa na gwajima aliongea mambo ya hatari sana ya gamboshi
  12. S

    JamiiForums Tanzania JF HARDtalk na "Mshana JR"

    Unajua kisiwa cha Gamboshi nilidhania kipo duniani ktk ulimwengu wa mwili,kumbe sio.Niliyasikia mazungumzo ya msukule mmoja aliyerudishwa na Gwajima ambaye alikaa kisiwa cha gamboshi miaka 12,ni kisiwa cha wachawi na cha hatari.Mshana kwa busara zako tueleze habari za gamboshi kama unaifahamu.
Back
Top Bottom