Ni wazo zuri tu
Ila mtoa wazo ndiye sumu hata Dubai ukifika sehemu ya Magari used ipo imetengwa utazunguka humo moaka uchoke mwenyewe kwa hiyo ni wazo zuri tu aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sangoma Mubashara aisee Msukumq hapindui yaani alikuwa kimya kulifanyia kazi na kuwaambia waseme ni akina nani hawausiki ktk hili na inaonyesha yaani mtu asiye na taaluma anaongoza waliobobea kielimu ila Mungu anamuona aliyefanya yote haya leo.
Ahsante Mshana kwa maono chanya yenye kuonyesha uzalendo wa kina juu ya Taifa lako,tatizo kubwa liko kwa mtu kutokutaka Ushauri wa wazi juu ya jambo husika na hapo sasa anaona anabezwa
Ila na weee usiache kutoa mawazo yako kwani ni hazina katika kujenga unachokiamini kwamba kinafaa ukiacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.