Recent content by saambili

  1. S

    Nina Laki 2 kwa Simu used iliyo bomba natafuta

    natafta sim nzuri kwa matumiz ya kusoma..mwenye nayo aina yoyote haswa ht na hiawei tuasiliane
  2. S

    Nina Laki 2 kwa Simu used iliyo bomba natafuta

    Nina kiasi hiko cha pesa, natafuta simu bomba kwa matumizi ya kisomi. Mwenye nayo aina yoyote touch with good memory capacity, Good CPU, tuwasiliane fasta.
  3. S

    Nimechaguliwa Course ya Dental laboratory technician, tupeane ushauri

    nipo pale mhimbili na tupo watano tuu ..sielewi kwa nn tupo wachache ivi..mwenye kujua alete taarifa
  4. S

    Nimechaguliwa Course ya Dental laboratory technician, tupeane ushauri

    Mungu hamtupi mja wake..hatimae afya wamenichagua katika coz ya dental laboratory technician ...kwa anaefaham inahusu nn na wapi ajira zake..pia mshahara naomba anipe dondoo kidogo
  5. S

    Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

    kweri..nimeridhika na mawazo yenu..wote walioponda na wote waliojaribu kunisaidia..sura..umbo na pesa kumbe sio kitu..ngoja nimrudie Mungu..naaamin huko nitakua na faraja ya moyo..
  6. S

    Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

    inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..
  7. S

    Natafuta pikipiki boxer bm 150 ya kununua iliotumika

    wadau nimechoka kutembea kwa mguu sasa natafuta pikipik boxer used ninunue kwa ajili ya matumiz yang..alienayo anitafute kwa namba 0719098138 bei tutaongea
  8. S

    Local channel zote bure kwa teksat decoder

    hivyo vingamua n vya DStv...kwa wale wasofaham...
  9. S

    wapiga matarumbeta ikulu wanapga nyimbo ya anaconda Joto hasira

    mdada anatisha ile mbaya song mpaka pande za obama linasikika...linakubalika
  10. S

    NATAFUTA MCHUMBA msichana TOMA NGARA...

    Wakuu wa kaya..nipo jamvin leo kutafuta mchumba toka home..yaaan ngara..nipo..dar..nafanyanya kazi..ndo kigezo cha kuamua ivo..coz naona maisha ndo hayahay....najichelewesha mwenyewe....msichana yeyote mwenye kua na intest basi tutafutane kupitia email..moge53@ymail.com...message zote zitajibiwa
  11. S

    Wajanja Night is back

    Shukran mkuu kwa taaarifa..tuliiimis sana
  12. S

    Kwanini nyimbo ya Joto Hasira imechuja haraka sana??

    Ni kwer nyimbo haina jipya..unaskiliza mara moja tuu then una tup kule
  13. S

    naomba msaaada namna ya ku unlock htc isiyotumia lain..

    nisaidien wapi mafundi wa kudli na hiz simh sisizo na sehem ya kueka cheap
  14. S

    how to use htc sprint which do not use a cheap

    naomben ..msaada..nataka kutumia htc..yangu..but haina sehem ya kueka lain..naomba direction niende kwa fund yup
  15. S

    Kwanini watu wanashituka ninapowaambia "nataka kuoa Polisi?"

    acheni mambo zebu ..ma wp..mbona mzuka sana..tena..wanayaweza kinoma..noma..wenzen tunafaidi...japo tumo ndan ya ile kampn
Back
Top Bottom