Nina kiasi hiko cha pesa natafta sim bomba kwa matumizi..ya kisomi..mwenye nayo aina yoyote..touch ..with good memory capacity. Good cpu tuasiliane fasta
Ulishapata? njoo nikuuzie tecno H7 ina 1.3 Quad-core processor, 8mp camera, front camera, ina flash, whatsap, facebook. warrant miezi 6....
natafta sim nzuri kwa matumiz ya kusoma..mwenye nayo aina yoyote haswa ht na hiawei tuasiliane
- Usinunue simu used
- Kwa huawei mpya kuna Y330 hii kwa sasa inauzwa tsh 130'000 tu, na Pia kuna huawei Y530 hii inauzwa tsh 195'000 tu
- Narudia tena si vyema kununua used phone
Android ngapi as os??
Mkuu nikusaidie jambo moja kwenye hizi smart phones,hizo HTC au Huawei,nakusaidia kurekebisha jina kwanza,tatizo kubwa la smart phone ni kukaa na chaji mda mrefu,nakushauri kwa hela yako ununue tecno mpya kabisa,android touch screen,inauzwa 160,000 ina kila kitu,ni brand new,jikune pale Mkono wako unapofikia,ukichukua used utakuja kujutia.
Tecno H7 ina 1.3 Quad-core processor, 8mp camera, front camera, OS 4.2 Jelly bean(upgreadable), ina flash, whatsap, facebook. warrant miezi 6....
- Usinunue simu used
- Kwa huawei mpya kuna Y330 hii kwa sasa inauzwa tsh 130'000 tu, na Pia kuna huawei Y530 hii inauzwa tsh 195'000 tu
- Narudia tena si vyema kununua used phone
- Usinunue simu used
- Kwa huawei mpya kuna Y330 hii kwa sasa inauzwa tsh 130'000 tu, na Pia kuna huawei Y530 hii inauzwa tsh 195'000 tu
- Narudia tena si vyema kununua used phone
hivi kale ka ugonjwa ka HUAWEI. kukata sauti ni kwa huawei zote?