Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
akili kama yako haiwezi elewa nilimaanisha nini hapo.pole sana kama wewe ni mmja waoinahusika vp na mada inayojadiliwa?
akili kama yako haiwezi elewa nilimaanisha nini hapo.pole sana kama wewe ni mmja waoinahusika vp na mada inayojadiliwa?
...kwani ushauri wa bangi uliufanyi kazi...??Sijaelewa hata kidogo
Nani amekwambia kazi ya mtu inadetermine upendo wake!!
Kipengele cha lindo na doria umeki consider? Je upo tayari kulala na mto?
Mnyamahodzo, uhuni ni tabia ya mtu ingawa kuna ukweli kidogo kuwa baadhi ya kazi zinaweza kumuweka mtu kwenye risk ya kuwa mhuni ...
kama umempenda nakushauri muoe huyo huyo polic kwani co polic wote wa kike ni malaya wapo wengi 2 wanajiheshimu
Nimemkumbuka BUSHOKE...
ndg,achana
na ushauri wa kbnadamu,eti kazi sio kigezo ktk usaliti.
nimeshawapuliza mapolisi wanne toka nimemaliza fm4,na wawili walikuwa ni
wake za watu tena kwa ndoa halisi,muda niliokuwa nawashughulikia ni
muda huo huo wa lindo.Walidiriki hata kudanganya waume zao wanaenda
lindo kumbe wanakuja kutoa burudani.
Hao wengne hawakuwa wake za watu,ila akili zao niliziona kama za
walimu,za kijnga xana.
Achana nae kabisa,kama unashangaa watu wakikushangaa kwa maamuzi yako ya kumpenda polisi sasaivi,usije kushangaa baadae watu wakikushangaa unavyolalamika kugongewa..!ACHANA KABISA NA HUYO MWANA CCM,ACHA WAOANE WENYEWE KAMA WASANII WA MUVI