Recent content by saalum

  1. S

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Alikuwa wapi kuyasema hayo kama kweli anatuhurumia Watanzania alipoona tunanyonywa hadi leo ndiyo anayasema hayo baada ya kukosa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM,leo kaamua kuhamia CDM anajifanya mwenye huruma kwa Wtz.Hana jipya huyu Lowassa alishatuumiza anataka nafasi ya kuendelea...
  2. S

    Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

    Kama UKAWA wako tayari kumpokea Lowassa pamoja na kumkashifu more kule basi ni dhahiri hakuna watakayemkataa.
  3. S

    Safari ya matumaini part II yawaumiza vichwa CCM

    Hivi Watanzania wamelogwa?,Lowassa huyu huyu aliyeitwa fisadi hadi jina la ufisadi likwa maarufu leo kageuka shujaa!!!.Ama kweli kuna watu vichwa vya panzi kusahau dakika tu.
  4. S

    ACT-Wazalendo kuvuna wabunge kutoka CCM na CHADEMA

    Huo mtego wa ACT utanasa wengi sana.
  5. S

    ACT-Wazalendo kuvuna wabunge kutoka CCM na CHADEMA

    Huo ndio mtego wa watu wajanja.Utafiti wako Upo vzr.
  6. S

    Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    Kilichoandikwa kwenye gazeti ndicho kilichotamkwa na Msigwa nawe unakiri,sasa umechanganyikiwa nini? Gazeti limenukuu kila moja atachukua maneno hayo atachanganya na akili zake kisha ataewa, nakushangaa unayetaka kila mmoja aelewe kama wewe. Wapo ambao wana uelewa mzuri wa kupima athari ya...
  7. S

    Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    Bahatimbaya sana na hatari sana ni mtu kutojijua type yake.Kuna watu humu wanajifanya wanakemea uchochezi kumbe wao ndio wanachochea,wengine wajifanya waerevu na kuwakashifu pamoja na kuwatukana wenzao kumbe wao ndio wapumbavu kabisa na bahati mbaya hawajijui.Ushauri wa bure "Watu wajitahidi...
  8. S

    Mtanzania Mwingine ahusishwa na mauwaji yanayoendelea huko Garissa

    Kuna haja ya watu kutafakari na kutafiti mambo na kuachana na utaratibu wa kupokea kila kinachotangazwa na vyombo vya habari kama kilivyo bila kutumia akili yako kukipima.Unaweza kujikuta wewe mwenyewe unatumiwa vibaya fikra zako na hatimaye kujikuta unakumbwa na matatizo wakati mwanzo...
  9. S

    Audio: Askofu Gwajima awajibu Polisi Kuhusu kuitwa aende kujieleza

    Wewe, huyo Gwajima na Pengohamna tofauti mbona hiyo dini ya Kinjikitile inakuhusu nini? bakini na malumbano yenu huko.
  10. S

    Lowassa ametoka Monduli kuhamia Dodoma kwa ajili ya kupokea wageni wanaokuja kwake?

    Akili ya kawaida dereva wa bodaboda snayemkabidhi tajiri wake hesabu ya 7000 kwa siku na siku nyingine anashindwa kukamilisha hesabu hiyo,leo uniambie ametoka Mbarali to Dodoma kwa gharama zake kweli inaingia kwenye akili timamu?Mbona hatuoni makundi yakienda kuwashawishi watu wengine au ndi...
  11. S

    Nape umetumia vikao gani kutoa tuhuma dhidi ya Lowassa?Lowassa ujasiri wako uko wapi?

    Mlitaka Nape asemee wapi baada ya kuulizwa swali hilo kwenye mkutano wa hadhara?Huyo Lowassa alishapewa adhabu pamoja na wenzake wengine kwa kosa hili analoendelea nalo sasa mwataka aitwe ili aambiwe nini kama hicho si kiburi kama alivyosema Nape.
  12. S

    CHADEMA kususia kuhudhuria mkitano mkuu na uzinduzi wa ACT-Tanzania

    Bora Chadema wasihudhurie maana wataumbuka kwani hawana uwezo wa kuficha hisia zao za chuki.
  13. S

    Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Kama unajihisi unafit kuchangia maoni mwenye mjadala wowote basi jenga hoja bila matusi wala kejeli,ukitumia matusi na kejeli maana yake huna uwezo wa kujenga hoja zakuelimisha wala huwezi kuwa na ushawishi wowote.
  14. S

    Kimenuka: Baraza la Wakulima Tanzania lawajia juu ACT-Tanzania

    Mbona hata sioni tatizo hapa hata kama jina litabadilika halitokiathiri chama hicho.Sasa nyie mnakuuuza mambo kimenukakimenuka nini sasa au wewe ndiye unaenuka.
Back
Top Bottom