MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 168
Unamchanganya zaidi mwenzako, achelewe kudhani ni Ofisi ya Makamo wa Rais.
Dr Slaa bado tuendelee kukuamini?
Kwa hiyo anatuambia ngazi ya juu ni lijizi sio?!
Lowassa:"Nilimpelekea documents mwanasheria mkuu ambaye alikuwa Johnson Mwanyika kwamba inaonekana Richmond siyo halali. Ila baada ya siku tano nilipoona kuwa mwanasheria mkuu hatekelezi maoni yangu nikaamua kuitisha kikao ambacho kiliongozwa na katibu mkuu kiongozi pamoja na makatibu wakuu wahusika wa Richmond. Grey Mgonja akaomba hudhuru wa saa moja akatoka nje kuongea na simu. Aliporudi ndani akasema kuwa mamlaka ya juu imeagiza kuwa kila kitu kuhusu Richmond kiendelee kama ilivyopangwa na mkataba ni halali. Mimi Lowassa ningeongea tena nini? "
Walijua atayasema na atachukua hatua akishafika Ikulu, ndiyo maana wakamuita eti ni mtu wa kulipiza visasi.Alikuwa wapi kuyasema hayo kama kweli anatuhurumia Watanzania alipoona tunanyonywa hadi leo ndiyo anayasema hayo baada ya kukosa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM,leo kaamua kuhamia CDM anajifanya mwenye huruma kwa Wtz.Hana jipya huyu Lowassa alishatuumiza anataka nafasi ya kuendelea kutuumiza.Akili ya kuambiwa ongeza na yako usiaminishwe kila kitu.
Umemsikia Mbowe aliposema over my dead body? TafakariMngemuuliza mwenyekiti je ile list ya mafisadi ilikuwa kabla au badala ya Richmond? Na kama ni baada ni ufisadi upi wa huyo mwanakondoo wa leo? Atakapo tupa hilo jibu basi atuaminishe kweli alionewa na JK lakini pia huo uonezi unawahusu Chadema ambapo leo amekimbilia ili kutimiza azma yake; Je ni kwanini Chadema walipomtuhumu asingetoka kwa kujua ubovu wa system na dhuuma za CCM ili apate sababu ya kuiongoza Tanzania baada ya kutumikia mfumo mpya ambao leo anataka kutuaminisha ndiyo ulio bora kuliko ule ulio mbeba tangu 2005 alipounda mtandao?
Je si yeye alituaminisha watanzania huyo leo anayemtuhumu ndiye mtu bora wakutupa maisha bora? Imekuaje leo hii yeye amgeuke mtu ambaye hajakutana naye barabarani kuwa ndiye mbaya wetu na yeye ndiye mwokozi wetu?
I have my last cards and will play accordingly...kila la heri mtu wangu!
Asingekatwa tungejuaje?
Acha porojo zak
hamna kitu apo! Lowasa anahusika direct, kwani sahihi ni ya nani? sheria inambana 1 kwa 1.
ni sawa na wewe umuue mtu afu useme mamaako ndo alikwambia uue tena bila ushaidi! nan atahukumiwa?