Please waweza kunipigia mahesabu ya Aluminium kwa nyumba yangu. Then tutaongea tuone itakuwaje. piga bei ya emilite
1. 995 x 1725=
2. 1310 x 1730=
3. 775 x 1770=
4. 592 x 512=
5. 845 x 1725=
6. 1470 x 1710=
7. 940 x 1715=
8. 1465 x 1760=
9. 1470 x 1740=
10. 1460 x...
Chuki zako za Kidini (mazayuni) unadhani zitakusaidia we bibi kizee. Sio wewe tu ulifuatilia wenye uelewa mpana tunajua what happed and who will the loser at the end of the day...
You must be Joking, Azam kwa Kikosi Kipi na Kwa marekebisho yapi wameyafanya toka Yanga icheze nae Tanga. Azam kwa Yanga ni kama mwembe wa uhani or kama kumsukuma mlevi wa K-Vat. Azam ni kiboko ya Simba kwa Yangu Hawafui dafu..
Ni aibu, Sudan kupereka majeshi kumsaidia Palestina, Si hawa hawa ndio bado wanachinjana na Janjaweed wao kwa wao. sasa uwezo wa kumsaidia mjahidine or mfia dini Mwenzao wameupata wapi. Tuwaache wafu wazikane.
Ndugu yangu kama unajidanganya ya kwamba CCM watakuja kukupatiia katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi, basi Sahau kama mimi na wewe tulivyolisahau TITI la Mamazetu. Majaliwa yetu, na ili Kujinasua toka makucha ya CCM lazima tulipe gharama. So ni Swala la kujiandaa Kimwili and more important...
Serikalini Hapana msamihati wa time management, muhimu ni kufika ofisini hata ukifika saa saba mchana( Irresponsible government)/Shamba la bibi ni mwendo wa Kujilia tu..
Banana republiques.. a failed State due to poor leadership "United Arab Emirates" Waarabu Watatumaliza hadi akili Zitu-rudi tutakuwa tumebaki na Makaburi tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.