Recent content by rwehu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Magari ya bei rahisi (nafuu) - mtandao gani?

    Amani iwe kwenu, Eti kwa mwenye uzoefu, ni mtandao gani (website) unauza magari kwa bei nafuui? Msaada tafadhali
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mh. Mwakyembe TRL ITAKUSHINDA UKIENDEKEZA KUTAKA SIFA.

    Kajipange kwanza ndo ulete Mada, hujaeleweka
  3. R

    JamiiForums Tanzania Do you have any good side jobs that make money?

    IF yes then what..?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mihogo mihogo mihogo!

    Nilisikia ati Bahresa ananunua mihogo kwa ajili ya kutengeneza biscut jaribu..
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nauza contacts za watu na majina yao

    Kwa hiyo wewe ni mwizi, unaiibia hiyo kampuni kinyume na utaratibu wao.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mitsubish pajero io

    Thanks for the input mkuu.Big up
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mitsubish pajero io

    Wana JF habari za leo. Naomba kusaidiwa kwa anaezielewa vizuri gari hizi. Watu wengi wanasema zina matatizo, lakini hawasemi ni matatizo gani hasa. Naomba kueleweshwa tafadhali.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni wizi wa mchana wa Fire

    Ubora wa kitu au kifaa, utautambua katika matumizi/kukitumia. kadri tunavyoendelea kuwa na serikali hii ya CCM ndo tunajua ubora na ubaya wake. kwa mambo yake mengi yanayoendelea, Sijui kama kuna M- CCM wa kawaida ambae hausiki katika maamuzi, anaweza kusema hii serikali ni bora!? kama yupo ...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Should CHADEMA Fire Zitto?

    Tatizo katika mambo haya ni kupata ushahidi. kutofautisha ukweli na siasa za majitaka ni kazi ngumu kweli.Mtuhumiwa atasema anachafuliwa tu.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta solar dryer

    Kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata solar dryer hapa Tanzania. Tafadhali anielekeze. Nahitaji yenye ukubwa wa kadri inayoweza kukausha matunda au samaki.
Back
Top Bottom