Mitsubish pajero io | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitsubish pajero io

Discussion in 'Matangazo madogo' started by rwehu, Aug 4, 2012.

 1. r

  rwehu Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF habari za leo.
  Naomba kusaidiwa kwa anaezielewa vizuri gari hizi. Watu wengi wanasema zina matatizo, lakini hawasemi ni matatizo gani hasa. Naomba kueleweshwa tafadhali.
   
 2. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Gari hii aina ya Pajero IO ni gari nzuri sana kama utafuata maelekezo yake kama yalivyoainishwa kwenye manual yake.
  Kwa kifupi gari hii ina masharti yafuatayo (haya ni yale maelekezo muhimu tu)
  Daima hakikisha unaweka petroli ya Unleaded. KAMWE usiweke petroli isiyu Unleaded. Pata petroli hii toka Puma (iliyokuwa BP), Total, Engen, na Gapco.
  Usipeleke gari hii kwenye garage zisizo na wataalamu wanaozifahamu gari hii.
  Usitumie spare parts feki hata siku moja, gari halitawaka kabisa. Pata spare toka Diamond Motors (mawakala wa Mitsubishi).
  Fuata maelekezo ya uendeshaji kwenye manual yake.

  Ukiweza hayo, hii ni gari nzuri sana, ngumu kwa mazingira ya off-road, pia ina 4-wheel drive yenye nguvu.

  Enjoy the car, Gari hii imetulia.
   
 3. r

  rwehu Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks for the input mkuu.Big up
   
Loading...