Recent content by Rwebangira and 10 others

  1. Rwebangira and 10 others

    Nimevamiwa na kuibiwa mali zangu na wezi, nawezaje kuwakomesha?

    wakurudishaje nyuma! ulitembea na uchumi wako wote...? au ni nyuma ipi hiyo. anyway naona ufumbuzi unaoutafuta ni namna ya kuroga tu, hakuna jingine.
  2. Rwebangira and 10 others

    Nahitaji huu uzi nimpate mtu anaemiliki kuanzia 500m kuna experience nahitaji kushare nae!

    pm nije na bank statement na vielelezo vya kampuni zangu? utaniaminije nina vigezo vyako?
  3. Rwebangira and 10 others

    Polisi wa Tanzania ni wazuri sana! Elezea kwa mifano

    polisi mwema atakuwa sio mtanzania, hata wao msamiati wema haupo kwenye fikra zao, changamoto yoyote ambayo wangeweza kuitatua ili waonekane wema, huigeuza kuwa fursa kwa faida binafsi.
  4. Rwebangira and 10 others

    Bodaboda acheni kujichomeka katikati ya haya Malori makubwa ni kifo nje nje

    mi ni mahiri sana wa kuendesha pikipiki kwa kasi na kwa kuzingatia taratibu za barabarani, ila nilijua kuwa sijui kuendesha pale nilipoendeshwa na boda nikapitishwa katikati ya masemi kwenye msitari unaoigawa barabara ya uelekeo mmoja (double road), yaan kama wewe ulivyopotishwa, alikuwa...
  5. Rwebangira and 10 others

    Aliyebuni hili Tangazo la Mama mwenye Mtoto Mgonjwa ndani ya DalaDala Buza - Kawe alitumia Akili zake sawa sawa kweli?

    kama ulitambua kuwa ni tangazo, basi ulielewa kilichokusudiwa. Kinyume na hapo unaweza kuliita igizo ili uifurahishe nafsi. Vinginevyo andaa tangazo lako uwapelekee wahusika, kisha waeleze kuwa wewe una akili zaidi yao. ...nyambaphu
  6. Rwebangira and 10 others

    Aliyebuni hili Tangazo la Mama mwenye Mtoto Mgonjwa ndani ya DalaDala Buza - Kawe alitumia Akili zake sawa sawa kweli?

    sio kila kitu ni kupinga tu, mantiki ya lile tangazo ni kuwa kila mmoja wetu anapaswa kutambua umuhimu wa afya kwanza kama kipaumbele hasa pale linapokuja suala la kuokoa maisha. kwamba konda na dereva na hata abiria wengine iliwapasa kurudi kituo cha afya japokuwa wao walikuwa na wajibu wa...
  7. Rwebangira and 10 others

    Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Wengi wao kero sana ukimweka ndani, matako makubwa akili kiduchu.
  8. Rwebangira and 10 others

    Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

    ni kweli mama angeweza kuusaini kimya kimya lakini yeye binafsi hakubaliani nao, hivyo akaona isiwe shida kwake, fanya tu kuuweka mkataba wazi kwa umma ili kuepuka yeye mama kuhusika moja kwa moja kukubali jambo asiloafikiana nalo... najaribu kuwaza kwa sauti labda kuna kundi maalum lenye...
  9. Rwebangira and 10 others

    Oa mwanamke mwenye elimu

    mama zetu waliishia darasa lipi!? mbona wametukuza hadi tulipo... wengi wa waliosoma, elimu inawapumbaza hatari! hamna kitu kabisa, tuulize sie tuliopitia maisha ya wake wasomi... bure kabisa.
  10. Rwebangira and 10 others

    William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

    Apumzike kwa amani, le mutuz
  11. Rwebangira and 10 others

    Ulishawahi kukutana na kisanga wakati unapita/kukaa karibu na makaburi

    ulipomaliza kupost huu ulingo wa lita 10 za mkojo ukaaga unaenda pre form one .
Back
Top Bottom