Recent content by RuwaIkunda

  1. RuwaIkunda

    Mliooa, hii hali mnaichukuliaje kwa Wanawake?

    Hiyo ndio raha ya kupendwa sana, shukuru MUNGU unapendwa sana mpka anaona wivu hivyo
  2. RuwaIkunda

    8GB DVD empty

    Asante sana, ndugu. Mbona kinya sana ndugu, hujanijulisha.
  3. RuwaIkunda

    Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

    Ninahisi kupitia hilo watoto wake hao wa kwanza wanaitumia vizuri na wanaona ni haki yao
  4. RuwaIkunda

    8GB DVD empty

    Nimeenda huko, hamna. Una namba ya simu ya muuzaji?
  5. RuwaIkunda

    8GB DVD empty

    Ndio, ni 8.7 GB
  6. RuwaIkunda

    8GB DVD empty

    Habari. Naomba kuuliza wapi naweza kupata DVD za 8GB, mimi nipo Dar Es Salaam. Naomba mnisaidie namba ya muuzaji anayeuza, nina shida nazo.
  7. RuwaIkunda

    Msaada TTCL Copper Internet

    Ndugu, maelezo uliyo yatia hapo juu ni kweli kabisa. Mimi huku naishi Sinza A opp na Mlimani City, nilikuwa natumia hiyo ya copper ambayo inaitwa Broadband tokea 2012 - 2013 baadaye nikaja tena kuitumia 2018 - 2019. Hali ilikuwa vile vile inakuwa ON/OFF ilikuwa ina umiza sana unakuta unalipia...
  8. RuwaIkunda

    Maswali 10 yanayoulizwa kwenye Usahili

    Kwa wale wanaotegemea kufanya usaili wa kazi Leo katika Taasisi na Makampuni mbalimbali, Hakikisha haya maswali una uelewa nayo, haya ndiyo yanakupa asilimia nyingi za kupata kazi; 10 classic questions asked during oral interview; 1. Tell me about yourself? Hapa sisi hatutaki kujua kuhusu...
  9. RuwaIkunda

    Movie/Series za kuweka mbali na watoto

    Namba 17, aise hiyo ni moto. Hadi viungo wanaonyesha
  10. RuwaIkunda

    Wizi wa Data umerudi tena kwa kasi

    Hii hata Eatel wanayo, nimeiona kwangu hii
  11. RuwaIkunda

    Benki ya CRDB boresheni muonekano wa Mobile App yenu

    kweli kabisa, wana app nzuri sanaaaa
  12. RuwaIkunda

    Amsha Popo - Airtel

    Shukrani ndugu, nimeona. Ila GB5 kwa 1500 aiseee. Hahaha.
  13. RuwaIkunda

    Amsha Popo - Airtel

    Nashukuru ndugu, naomba unipe code ya kupiga kupata hicho kifurushi cha usiku cha halotel.
  14. RuwaIkunda

    Amsha Popo - Airtel

    Je, kuna yeyote humu ndani anajua mbadala wa kifurushi cha usiku cha internet kama kile cha Airtel cha Amsha Popo? Maana leo nimejaribu kuunga lakin sikioni nimepiga simu HUDUMA KWA WATEJA wamesema wamekitoa, je mitandao mingine wanakifurushi cha USIKU cha internet cha GB 10 kama cha Airtel...
  15. RuwaIkunda

    Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom