Recent content by RUTUBA

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nina idea ya kuitekeleza na makampuni ya simu, nianzie wapi?

    Wapendwa katika bwana ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mambo yanaeda kama yalivyopangwa , Nina Idea nataka kuimplement na makampuni ya simu , je naanzia wapi ? just advice plz
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nina project idea, ni ubunifu wangu, je sheria za hati miliki zinaweza kulinda ubunifu huu?

    munisaidie wazo langu hapo juu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

    Malinzi ndiyo kayataka haya yote
  4. R

    JamiiForums Tanzania Usambazaji wa kazi za wasanii kwa kutumia caller tune

    Binamiliki wasanii wa kizazi kipya , je nkitaka kuuza nyimbo zao kama caller tune nafanyaje ? Naombeni msaada wapendwa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya SUMATRA kufuru

    Specialization and division of labour
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada notes za cpa foundation stage pleaseeee...

    Wapendwa wana jamvi , naomba mtu mwenye kujua zinakopatikana ama anazo notes za cpa foundation stage basi anisaidie. Unaweza kuni pm by any cost plz
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada notes za NBAA foundation stage please

    Jamani wapendwa naomba munisaidie mwenye notes zozote nbaa module ya foundation anisaidie kwa gharama yoyote , mie npo moshi tafazali...just ni pm asanteni sana
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua

    Kama mtu umeajiliwa na kupewa muda wa probation na kwa sasa ni miezi miwili imepita na mwajili wako hajasema lolote either kuongeza muda wa probation au vinginevyo. Je ni hatua gani kisheria mwajiliwa anaweza chukua dhidi ya mwajili ?
  9. R

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Udini upo na nitatizo ...both christians and muslims top leaders wa mashirika na taasisi za umma ndiyo wana intertain....nimewahi fanya project na ifakara health institute bagamoyo .............nenda ukajionee mwenyewe au pitia tovuti yao then utabaini kuna tatizo la udini..... Ila tukiangalia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bilionea Prof. Anna Tibaijuka, unafanya nini kwenye ofisi ya umma mpaka sasa?

    unajua kama haukuw mfuatiluaji wa bunge maalum la katiba hususan mapendekezo ya watanzania yaliyo ndan ya rasimu ya mzee walioba ( kama inavyojulikana) ni vigumu mno kupata majibu ya uwajibikaj au kuwajibishwa kwa hawa viongozi wa umma. hebu tujaribu kuangalia pendekezo la kutaka MAWAZIRI...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

    Kuwapa nafasi watuhumiwa wa PAC wachangie katika mapendekezo ya BUNGE ni kama kuwapa nafasi ya kujitetea kitu ambacho tafsiri yake ni kutaka kuwahukumu kitu ambacho bunge haliwezi , nionacho mimi ni kwamba wale watuhumiwa walotajwa kwenye ripoti ya PAC wasingeruhusiwa kuingia kwenye huu mjadala...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko, imekuwa unyanyasaji kwa wanafunzi Tanzania

    adhab inatokan na mazingira , haya mambo ya kuparamia et haki za mtoto ni kuharib misingi ya makuzi ya mtot wa kiswahil ndiyo maana hat leo hii ukipand daldal utamkut mtot wa shule kakaa kwa kiti na mtu kama babu au bibi ake amesimama....mbona wao hawaigi tamaduni zetu ? maandik yenyew...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwanangu hapendi kula

    thank you all for your contributions , wale mlonipa contacts ntajitahid kuwacheki , mungu awabarik
  14. R

    JamiiForums Tanzania Graduates from UDSM tunaua nchi

    Maskendo yote ya ufisadi serikalin yanaratibwa na graduates from udsm for more than 90% hebu tubadilike jamani EPA, Escrow Tegeta... Ni mifano tu. Na inazimwa na wanasheria graduates wa udsm. Hivi hatufundishwi maadili?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Interview Benki ya Posta

    nan kakudanganya ? akili za kupewa changany na za kwako...TPB ukiajiliw tu unaanza na 65000 kama basic ,unapew monthly transport ya 65 , na ww wa mikopo kuna allowanc na bonuses...unatak kazi ya aina gani kwa kuanzia ?
Back
Top Bottom