Recent content by Rutorial k

  1. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sisi tulikuwa pale tulishindwa kumsikia Samia akiongea

    Kuna siku alikuja mwanza pale kisesa ngomeni alipopewa uchifu hangaya, alipoanza kuongea nikasikia pointless nyingi nikaamua kuondoka eti getini tukawazuiwa hakuma kotoka!siku hiyo niliamua kusikia sauti tu ila sio kusikiliza!
  2. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Deni la Taifa lafikia trilion 116

    Deni kubwaaa au ndio maana serikali inalipa mishara kwa awamu maana hadi Leo baadhi ya wafanyakazi hawajapata mshahara!
  3. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania Kwa nilivyo mdharau Polepole sikutegemea anaweza kuongea kitu kiniathiri Kisaikolojia namna hii!!

    Ukweli ni kwamba namba za kadi za mpiga kura zinakusanywa sana kwa wafanyakazi wa halmashauli eg walimu. Ukiuliza za kazi gani unaambiwa we toa tu! Kumbe ndio kazi yake??
  4. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Wapinzani mnasikiliza uongo wa Polepole hadi usku wa manane? Basi tunahijaji reforms za ubongo wa wapinzani, hivi mnajielewa kweli?

    Ila kutumia pesa za walipa Kodi kumlipa wakili wa serikali (katuga) kuongea uongo wake. ndio sawa?
  5. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania Namna CCM wanavyonufaika kwa kuunganisha mfumo wa NEC na mfumo wa NIDA kufanikisha wizi wa kura

    Kuna mtu alikuwa anakusanya namba za kadi zetu za wapiga kula nikamuuliza unazipeleka wapi? Akasema eti kila mwana ccm lazima atoe no ya kadi la sivyo hatambuliki.mpaka hapo nimeshatiki😂
  6. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ningekuwa CCM hata mniue siwezi kufanya REFORMS kamwe

    No reforms no election inaonekana kufeli kwa wajinga ila ni movement nzuri sana kielekea kujitambua kwa watu wetu. Hata mbuyu ulianza kama mchicha! Viva Tundu lisu viva chadema
  7. Rutorial k

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kwenda ugenini/safari yeyote halafu nitoke sijalala na mwanamke.

    Moral of the story?
  8. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    Wale ambao hatutatoa tutachangiwa na wahuni, tunajua ni gelesha tu ili tuambiwe tumevuka lengo la kuchangisha 1b
  9. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania Tulia Alikejeli Wanaotekwa na Kuuawa, Tuamini Kuwa Nayo Yalikuwa Ni Maelekezo Maekezo?

    Wananchi nao tumezidi uboya, tuko wengi, ila eti tunashangilia aliekufa badala ya kusababisha vifo vya watesi wetu!
  10. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

    Tendeni haki kwa maana matendo yetu yafatana nasi
  11. Rutorial k

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Kwa kifupi wewe ni Malaya usipunguze ukali wa maneno. Umalaya nacho nikitu cha kujivunia
  12. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nilianza hii biashara ya boda aisee ni hasara tupu, kwanza kuleta hela hadi mgombne na huyo unaempa, poli matengenezo hayaishi unajikuta unaempa yeye faida
  13. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    Kumbe siku hizi maiti inaweza KUUWAWA😀 mantiki ya hili ni Nini haswa?
  14. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Mimi ndiye mke wenu mkubwa

    Kutoka kuchalaza wenzake hadi kuwa mke mkubwa 🤣 alafu wengine wajiajiri!
  15. Rutorial k

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuwashambulia viongozi wetu waliopo na wastaafu kwa watu wao wa karibu kugombea nafasi za uongozi kwa jamii ni kuwakosea adabu

    At least they should have shown leadership quality Yani wengine wanaibuka tu kama uyoga na kuwa wabunge! Du hapa.
Back
Top Bottom