Duh bas tutakua sana watumwa wa hili deni provided shilingi yetu inaendelea kufanya vbaya(kuporomoka) dhidi ya dolaUmekopa kwa dollar utalipa kwa dollar,unapochelewa ndivyo deni linaendelea flactuate
Sawa ntataja kwa dola🤣🤣🤣Usilitajekwa Tsh litaonekana kubwa
Hivi huwa hawakubaliani according to the rates za hio sku den linapokopwa yaan fixed au huwa wanatumia floating rates?
Achana na kauli ya wachambuzi(Madalali) kudai eti linadhibitika, siyo kweli maana hatuoni mpango wowote wa deni kulipika.Kilicho dhahiri ni kuwa deni linaongezeka kwa sababu tunaendelea kukopa kwa matumizi ya kawaida.Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia 85.4. Malipo ya huduma ya deni la nje mwezi Juni yalifikia dola milioni 234.4, yakihusisha marejesho ya mkopo na riba.
Kwa upande wa ndani, deni lilikuwa trilioni 35.5, likiongezeka kwa asilimia 0.9 kutokana na hati mpya za dhamana. Uchambuzi wa IMF unaonyesha deni la umma ni asilimia 35 ya Pato la Taifa, chini ya kiwango cha hatari, ingawa kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola kumeongeza mashaka juu ya mzigo wa deni.
Wachambuzi wanasema ingawa deni ni kubwa, bado linaweza kudhibitiwa iwapo mazingira ya sasa ya kiuchumi yataendelea.
Saidia fundi
View attachment 3452298
Halafu Dollar zenyewe ni hewa wala hazikuwepo ila mlipaji ndo unarudisha hela kamili..Umekopa kwa dollar utalipa kwa dollar,unapochelewa ndivyo deni linaendelea flactuate
Zitto Kabwe yule aliekuwa anapiga makelele enzi Magu yupo?Wakati anachukua Nchi kuongoza kama Rais wa awamu ya Sita baada ya Kifo cha JPM, deni lilikuwa Trilioni 62.
Miaka yake minne, deni limefika Trilioni 116
Ni ongezeko la Trilioni 54 ndani ya miaka 4
Ukifanya Hesabu za kutoa na Kujumlisha, ni wastani wa kukopa shilingi Trilioni 13.5 Kila Mwaka 🙌
Anyways, Mchumi wetu, Daktari Mwigulu Nchema hakawii kusema deni ni himilivu, kwahiyo angependa tuendelee kukopa 😜
Zitto hawezi kusema hili, tayari mrija wake wa kula Keki ya Taifa haujaguswaZitto Kabwe yule aliekuwa anapiga makelele enzi Magu yupo?
Mbona hili hasemi au kwa vile salamaleko mwenzie?
Akimaliza hiyo mitano, Deni la Taifa litapanda kufikia Trilioni 180 nadhaniimagine anapewa mitano mengine🤣🤣🤣
Sijui kwa nini hamumpi airtime siku hizi.Mchumi wetu...
Sio Samia ni chifu MangunguDeni la Samia.
Dah,Mchumi wetu, Daktari Mwigulu Nchema hakawii kusema deni ni himilivu, kwahiyo angependa tuendelee kukopa 😜
Cha kwanza kinaisha haraka hakiumizi 🥱Mtakuja kupigwa mkia raia wote kwa kushindwa kulipa deni
Wahuni wameikalia Nchi yote hiiDah,
Yule ni kati ya wahuni wanaoponza nchi