Recent content by RUTO

 1. R

  Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama lazima ung'oke 2015!

  Ng'oa hiyo kamanda.Ni miongoni mwa wabunge wa CCM wenye hoja dhaifu. Yeye anachojua ni kuitetea ccm hatakama imefanya blander ya wazi.
 2. R

  Tamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze

  BEAUTIFUL TANZANIA. Nonsense democracy
 3. R

  Kwa viongozi wangu wa CHADEMA kitaifa kuhusu "CHADEMA ni Msingi"

  Kwanza napenda kutumia fursa hii kuwapongeza kwa uimara mnaouonyesha katika kukisimamia chama katika changamoto nyingi zinazokikumba. Ninyi ni wavumilivu na wenye msimamo katika mapambano haya makali dhidi ya maadui wa chama chetu. Hongera mwenyekiti wangu F. Mbowe pamoja na katibu wako mkuu Dr...
 4. R

  Ukweli juu ya uzushi uliotolewa kuhusu viongozi wa CHADEMA tawi la IFM

  Good kamanda. Huu ni mwendo wa Chadema ni msingi mpaka kieleweke. Leave those CCM to continue bribing our members thinking that they are making their party strong! They never know that if you can buy someone against another one, he or she can also be bought against you!
 5. R

  Mbunge wangu SELASINI na mbunge wa kufikia LEMA, mimi nataka kura ya WAZI..

  Mbunge wangu Selasini nataka kura ya siri.
 6. R

  Palizi la bustani

  Majani yawe mafupi.
 7. R

  Mpenzi wangu kanizidi umri

  Kinachowaunganisha watu ni upendo,kuheshimiana na kuvumiliana. Utashi wa hali ya juu kwa mwanaume kuimudu nyumba yako ndio hoja ya msingi na siyo umri.
 8. R

  Shemeji yangu jamani

  Mkeo kakutegeshea wewe ----- ajue uaminifu wako. Utavunja ndoa yako sasa !
 9. R

  Kitila mwalimu wangu,kuwa mkweli utakuwa huru hata kwenye nafsi

  Mwalimu wangu Kitila Mkumbo hata kabla hujafukuzwa uanachama na chama changu CHADEMA,mimi nilikuwa mfuatiliaji mzuri wa makala zako katika gazeti la Raia Mwema. Hata baada ya kufukuzwa na chama, umeendelea kuandika lakini katika mtazamo tofauti. Eti unataka mbadala wa CCM na CHADEMA. Nakuunga...
 10. R

  Nyasura bunda kumekucha!

  Wasira usijali CHADEMA itakufa kabla ya2015. Vuta subira kama nyani anayesubiri mkono wa manadamu udondoke ili aule.
 11. R

  Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo

  Mwl. wangu Kitila nimekusamehe lakini SITASAHAU uliyoyafanya kwa chama.
 12. R

  NEC imekula njama jimbo la kalenga.

  Dr atasimamia mchakato mzima.
 13. R

  Kisiasa Nini Maana ya Uteuzi wa Paul Makonda Jana?

  nakubalia na hoja yako mkuu
 14. R

  Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

  Wanajamvi nimejaribu kuyapitia kwa umakini majina ya wajumbe wa bunge maalumu la katiba na kugundua kuwa wengi wa wajumbe ambao ninawafahamu ni wana CCM. Sisemi ni wana CCM kwa hisia bali ninawafahamu. Na hii ni kutoka katika taasisi zote wanazotoka wajumbe hao. Kwa mfano katika taasisi za...
 15. R

  M4C Pamoja Daima ndani ya Musoma!

  CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA acha tu!
Top Bottom