WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 932
Was.sira hoi na utabili wake wa kinyani nyani!
CCM wamepatwa na mshtuko kwenye hili kwani watu walitangaza kesho tunapandisha chopa na zikapanda kweli, hii ndo maana ya Chama sio mtu,haiwezekani mtu mmoja anajiona hawezi kufukuzwa uanachama eti anawatu wengi,,haiwezekani kabisa,narudia maneno yangu kama kumfukuza Zitto chama kinakufa bora kife kabisa lakini Zitto aondoke,,Nyumba ya ccm kwa sasa inaungua kwa kasi beki hazikabi zinalinda goli wakati wote....huu mwendo ni mpaka 2015 magogoni!
lete picha mkuu ccm wapelekwe icu
zuberi zito kabwe yuko wapi?