Shemeji yangu jamani

Shemeji yangu jamani

Dah hii story iko karibu na ukweli. Mimi nina shemeji yangu ana mitego sana sema basi tu kaka wa watu nimekulia kanisani. Ila dah ni ngumu sana.
 
Dah baba unatisha. Mie nina shem wangu pia ika wife ni mbabe balaa...full mawivu. Ni masai anapiga huyo! Wala sifikirii kujaribu hiyo makitu ntauwawa!!!
 
Wewe siku hizi huonekani

Sijui ndo umefichwa?

Hahaaa wa kunificha si wewe dear..uliniahidi ikivuna mpunga na mahindi utakuja kunificha...

So nasubiri uje kwetu baba paroko

kwenye stori kama hii wewe na Mentor huwa hamkosi....
 
Hahaaa wa kunificha si wewe dear..uliniahidi ikivuna mpunga na mahindi utakuja kunificha...

So nasubiri uje kwetu baba paroko

kwenye stori kama hii wewe na Mentor huwa hamkosi....

Endelea tu kunisubiri

Ole wako unitose

Achana na bazazi Mentor
Sio wa kusogelea huyo!!
 
Last edited by a moderator:
Endelea tu kunisubiri

Ole wako unitose

Achana na bazazi Mentor
Sio wa kusogelea huyo!!

Ucjali nitakusubiri tu...najua unanitafutia maisha...so nitakuvumilia hata kwa miaka kumi...ukipata mavuno usinisahau sasa....Mentor nimemtupa kuleee ..ni wewe tu eiyer.
 
Last edited by a moderator:
Ucjali nitakusubiri tu...najua unanitafutia maisha...so nitakuvumilia hata kwa miaka kumi...ukipata mavuno usinisahau sasa....Mentor nimemtupa kuleee ..ni wewe tu eiyer.

Hapo sasa ndipo ninapokupendea!!!!!!
 
Mkeo kakutegeshea wewe ----- ajue uaminifu wako. Utavunja ndoa yako sasa !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom