Ndugu yangu nakuunga mkono kwa asilimia 100, Mkapa ni raia kama raia wengine, awajibishwe kama wanavyowajibishwa raia wengine. Ametuingiza kwenye matatizo makubwa, Yeye pamoja na genge lake la mafisadi wamekomba kila kitu na sasa wamekaa kimya wanajifanya MABUBU. Huyu Mkapa si ndiye alikuwa...