Recent content by RUSSESABAGINA

  1. RUSSESABAGINA

    Je, Samsung Galaxy S7 Edge 2020 bado ni bora?

    2020 unataka kununua simu ya 2016??? Mabadiliko makubwa sana ya technolojia yamefanyika ndani ya miaka mi4..nakushaur jichange ununue simu ya kisasa i mean matoleo ya hivi karibuni
  2. RUSSESABAGINA

    Tumeacha mambo ya Msingi tunajadili upuuzi!

    Weka hiyo report ya IMF mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. RUSSESABAGINA

    Philip Mpango: Hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2019 na Tathimini wa Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2019/20

    Ni kweli mkuu hayo ni maoni binafsi sina takwimu. Ukisoma hiyo speech vizuri waziri amesema sababu ya ukuaji wa pato la Taifa kwa mwaka 2019 umechangiwa na baadhi ya mambo ntaandika machache. 1.uwekezezaji katika miundombinu( barabara , reli na airports) 2.kuimarika kwa huduma za usafirishaji...
  4. RUSSESABAGINA

    Philip Mpango: Hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2019 na Tathimini wa Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2019/20

    Difference ya 2.0% -2018 had 6.7% 2019 kwa mazao ya chakula ni kubwa sana. Reason anazozitoa waziri hazina uhalisia. Kwanza anasema ni uhaba wa chakula kwa nchi jilani mean while wanatupiga ban wananchi kuuza chakula nje. Pili, Changamoto za usafirishaji ..wakati kwenye paragraph ya kwanza...
  5. RUSSESABAGINA

    Nakaribia kula tunda lakini nahisi kuna mahali nakosea, niongezeeni maujanja ili nisikose hili tunda

    Komaa na shule dogo, Ukiendekeza uzinz utaukwaa sio muda mref Hainz_04, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. RUSSESABAGINA

    Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Hii imegharimu kiasi gani.. Ni vema ukiweka post weka na bei yake na details zingine kama idadi ya rooms n.k Sent using Jamii Forums mobile app
  7. RUSSESABAGINA

    Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

    I fought the same fight man. Mimi shida ilikua ni sauti yaan nlikua na sauti nyembamba sana sio kawaida "kama ya mose iyobo ile", kias kwamba nikiongea kama mtu hakugeuka kunitazama anajua ni wa kike... nilitaniwa sana na kiukwel hili jambo lilikua likiniumiza sana, kwanzia shulen had kwa...
  8. RUSSESABAGINA

    Wema wangu ulinikosesha manzi, sirudii tena

    Ushauza spare? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. RUSSESABAGINA

    Samaki wa Kitoga wanapatikana

    Wapya wameingia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. RUSSESABAGINA

    Samaki wa Kitoga wanapatikana

    Namba hiyo hapo mkuu, tuwasiliane Sent using Jamii Forums mobile app
  11. RUSSESABAGINA

    Samaki wa Kitoga wanapatikana

    Pole sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. RUSSESABAGINA

    Samaki wa Kitoga wanapatikana

    Haha wapi tena mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. RUSSESABAGINA

    Samaki wa Kitoga wanapatikana

    Habari za muda huu wana JF, Samaki wakavu wanapatikana, ni wa maji baridi, aina ya Kitoga kutoka Ifakara. Wamekaushwa kwa moto. Wapo wa ukubwa tofauti tofauti, Bei ni kuanzia 3000, 4000, 5000 hadi 15,000 samaki mkubwa kabisa. Ofisi yetu inapatikana Mwanayamala Magengeni. Au piga simu: 0719...
  14. RUSSESABAGINA

    Series (Special thread)

    Tumia uc browser, search " the index of jina la movie" mfano " the index of power season 1" utapata links chagua Sent using Jamii Forums mobile app
  15. RUSSESABAGINA

    Ma HR wenzangu, tuwasaidieni hawa vijana

    Kiungwana tunasema "umefanya jambo baya, kwa nia nzuri" Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom