Kwahyo mkuu we unaonaje ? Alizingua sana auWema wako utalipwa kimasihara sana kama ulivyokosa tunda kimasihara na kuliacha liende
Sema we mbishi tu kaka, ungerekebisha kabisa yaani.
Duuh[emoji28][emoji28][emoji28] nipe moyo mkuuWema wako utalipwa kimasihara sana kama ulivyokosa tunda kimasihara na kuliacha liende
,[emoji28][emoji28][emoji28] ntatumikia adhabu ya kambi kwa mujibu wa katiba
Unashtakiwa kikatibu na hili lisijirudie tena,[emoji28][emoji28][emoji28] ntatumikia adhabu ya kambi kwa mujibu wa katiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unajua mie mtu wa Mungu?? Tulikua tunashauriana tu mawaidha
Aisee kweliNadhani baada ya kupitia uzi wa tunda kimasihara ndio umekumbuka makosa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mie nlikua bonge la famba kweli pumbavu zangu kabisa[emoji57][emoji57][emoji57]Eti ukampa track suit avae? Aise we mtu unazingua sana! Yaani atakuwa alikuona bonge la fala aise! Kwani alikwambia anataka kuvaa track suit? Ona unavyoaibisha chama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachambua kitu hatua zote kama unalipwa hiv!Kaka badili kichwa cha habari. Kilichokukosesha manzi ni uboya na uchovu wako tu sio wema. Infact wema wako ndio ulikupatia demu hadi chumbani kitandani na hana chupi! maana wema wako ulikusababishia umpe lifti na umkaribishe kwako kitandani.
[emoji2][emoji2][emoji2]Unachambua kitu hatua zote kama unalipwa hiv!
Mbn umepotea kule sikuhiz wakat lilikua chimbo lako lile hadi usumbufu ukauanzaHuwez jua umejiepusha na nini brother, jipe pongezi, matatizo mengi ya kulala ovyo ovyo au kula matunda kimasihara kama thread moja inayowajumuisha wazinifu humu jamii forum sehem moja, yanatokana na kulala ovyo ovyo na wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app