Recent content by Ruska

  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuweka kitunguu maji, saumu kwenye upishi wa chapati?

    Hapana sikumaanisha hivyo ila nimesemea kiujumla Kwa mapishi yote
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuweka kitunguu maji, saumu kwenye upishi wa chapati?

    Pole mkuu ila fahamu kuwa kuna baadhi ya viungo vya kupikia na hicho unachokipika haviendani ndio maana matokeo yakawa hivyo
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Unataka kufugia eneo gani
  4. R

    JamiiForums Tanzania Elimu ambayo Padri hawezi kukupa

    Sidhani kama hayo maelezo yakoyanatetea na kuonyesha kuwa pombe imeruhusiwa katika biblia!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Elimu ambayo Padri hawezi kukupa

    Sasa hayo unayasema wewe na Kwa mtazamo wako
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Nilichokuja kugundua na roho kuniuma ni kuwa kipindi chote hicho wakati anahema kumbe ng'ombe alikuwa na homa ndio inayompelekea kufanya hivyo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Jaribu kumpima joto la mwili likiwa kubwa inamaana huenda akawa na homa hivyo inasanabisha ng'ombe kuhema
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mliopo kwenye ndoa hua mnafanya nini kutatua changamoto ya kunyimwa unyumba?

    Ni mimba tu?!! Maradhi nayo anayakwepea wapi??! Kumlinda mwenzio ni sehemu ya upendo kwa kumuonesha mwenzio kuwa unamjali na kumthamini
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mliopo kwenye ndoa hua mnafanya nini kutatua changamoto ya kunyimwa unyumba?

    Ungeubeba wewe ndio hapo ungethibitisha hichi ulichoongea..ukajua mbichi na mbivu ni zipi
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mliopo kwenye ndoa hua mnafanya nini kutatua changamoto ya kunyimwa unyumba?

    Kama haya unayoeleza ni kweli mbona sababu ipo wazi??!!
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

    Wanawake wote ni sawa linapokuja suala la mapezi ya dhati...hakuna cha nshomile but no course Wala nini! Cha muhimu mpe "utulivu wa moyo" basi Kwa maana ya utulivu wa moyo
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mliopo kwenye ndoa hua mnafanya nini kutatua changamoto ya kunyimwa unyumba?

    Kwa suala lako hili tabia yako hiyo hiyo ya kuchepuka ndio inayokufanya mkeo akujime unyumba, acha kusingizia mimba wakati ukweli unaujua
  13. R

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    3:59
Back
Top Bottom