Umetoa ufafanuzi mzuri sana, ila umeharibu hapo kwenye para ya mwisho na hasa mstari wa mwisho kabisa ulipompa pande Lissu! Kwa maoni yangu nadhani Dr. Salim atatufaa sana uraisi kwa sasa ili kuvunja makundi yanayoiharibu CCM.
Jeshi la polisi la jiji la New York (NYPD) liko katika wakati mgumu sana wa kupambana na makundi ya wahalifu (organized crime) hususan waporaji wa mabenki, wafanya biashara ya madawa ya kulevya na wahuni wengine (thugs) ambao wanamiliki silaha nyingi za kivita.
Baadhi ya silaha hizo kama...
Jeshi la polisi la jiji la New York (NYPD) liko katika wakati mgumu sana wa kupambana na makundi ya wahalifu (organized crime) hususan waporaji wa mabenki, wafanya biashara ya madawa ya kulevya na wahuni wengine (thugs) ambao wanamiliki silaha nyingi za kivita.
Baadhi ya silaha hizo kama...
Katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2005 Rais Jakaya Kikwete alitoa ahadi kedekede za kuwavutia wananchi. Maisha bora kwa kila mtanzania, kukomesha rushwa na kuondoa kero zote zilizokuwa zikiwasumbua watanzania. Mheshimiwa Kikwete aliahidi kutekeleza hayo yote kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi...
Katika nchi yetu (Tanzania) kuna idara kuu tatu zinazoshughulika na kazi ya upelelezi/ uchunguzi. Idara hizo ni idara ya upelelezi wea makosa ya jinai (CID) idara ya Intelijensia ya jeshi (M I) na idara ya usalama wa Taifa. Idara hizi zinajitegemea na kila moja ina majukumu tofauti. Hata...
Katika siku za karibuni Idara ya Usalama wa Taifa imekuwa ikitajwa tajwa sana katika vyombo vya habari. Kutajwa tajwa kwa idara hiyo pengine kunatokana na malalamiko ya wananchi hususani viongozi wa vyama vya siasa kwamba wamekuwa wakifuatwa fuatwa na kutishiwa na maafisa wa idara hiyo kiasi cha...
The Memphis Grizzlies nicknamed him Hasheem Thabust just to express their sentiments due to poor contribution he brings on the table for his organization. The atmosphere is not compelling at all; it wont be a surprise to learn of another assignment that would send Hasheem Thabeet to NBAs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.