Recent content by Runa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Kama kuna athali kubwa ya upole wa JK ambayo sasa ni dhahili inalitafuna taifa ni kulea mafisadi wa namna ya ukurupukaji wa maamuzi ambayo baadaye unakuja kuwa mzigo. Watu kama hawa walitakiwa kuwajibishwa mara moja. Hivi sasa nchi inahangaika kuteka maji na kujazo kwenye sanzo!!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Hao unaowaita watekaji wameteka kisheria. Pili kama ndege siyo yako kwa nn uhangaike nao, si ukawadai bombadier kwa kuchelewesha ndege ambayo unaikana?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Yuda ni yupi? Anayefichua uvundo au anayefunika? Uchumi wa kati haujengwi kwa jazba na kukurupuka, unajengwa kwa mipango iliyokwenda shule.
  4. R

    JamiiForums Tanzania CCM oneni aibu tazama hii nchi ilikotoka na mahali ilipo

    sema magamba munavipaumbele vyenu! tuambie ss!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bomu linalomwandama Magufuli

    niliwahi kusema, hao mafisadi atakaowaundia mahakama ni wa kuanzia lini? juzi, jana, leo au kesho? kwa hali kama hii, yeye ataipa ruhusa hiyo serikali yake imfungulie mashitaka? je salva atatoa ushahidi upande upi? huyu jamaa anafanana na kk yake yule wa upumabavu na ulofa na umbumbumbu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CCM itaondolewa lakini...

    Hahahaaa! mbona huko kwa magamba munahaha kuwapoza watu wasiwakimbie!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Niliwaeleza baadhi ya wabunge CHADEMA hawarudi Bungeni mkabeza!

    ndoto zingine huwa hazifai kusimulia watu, ww subiri tu October 25! kwa nn kuandikia mate?
  8. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Du! Ni msiba mkubwa sana! kamanda tangulia mbele ya haki, sote twaja! poleni sana makamanda wote! ALUTA CONTINUA!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    Hebu tupatie pia michongo ya rizi 1
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Francis wa CCM: Tutajenga reli kwa kiwango cha lami

    shida yao kubwa ni kuwa mwaka wa bajeti wanafanya upembuzi yakinifu!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Huu Sio Uchaguzi, ni Kipimo cha Upumbavu

    kama kipimo cha ueledi wako ndo hichi, basi ww ni mbumbu kabisaaaaa!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Uhuru Publications kuhusu mwandishi aliyejeruhiwa

    Wazee wa reverse!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sala za mabinti wa kilokole wanaotafuta wachumba

    Hao wa over 35 nawafananisha na magamba!
Back
Top Bottom