Chungu Kibovu
Member
- Jul 14, 2015
- 37
- 3
BRN=Better Resign Now...Mngekuwa na uhakika wa kubakia madarakani, msingekuwa na hiyo mikakati yenu ya Ngurdoto, Zenj, Mtwara n.k.Subirini 25 Oct muone Peoples' Power inavyodhihirisha ubora wake
CCM itaondolewa madarakani lakini sio mwaka huu, wala sio na UKAWA kupitia Lowasa wala Sumaye.
Itaondelewa tu muda ukifika, wapinzani wa kweli wakijipanga upya, na kudhamiria kuiondoa CCM kweli kweli.
Wapinzani wa kweli wanaweza toka ndani ya CHADEMA, au CUF au chama kingine imara.
UKAWA kwa sasa wenyewe hawajui inaongozwa na nani... ndo maana ameachiwa mzee mamvi apigane kufa kupona, lakini safari ya Ikulu hiyo mhhh... kila la heri lakini.
Ni maoni yangu tu, uko huru kuwa kinyume na mtazamo huu, huna sababu ya kunitusi.
Nashangaa ndio kwa watu wanaosema kwamba wamejipanga kuchukua nchi lakini bado hawajawa kitu kimoja mpaka sasa
Kumbuka hatutafuti kiongozi au mwakilishi wa Vyama au chama kwenye majimbo!tunatafuta mbunge na mwakilishi wa wananchi woote bila kujali itikadi za vyama
Mmeshindwa kumaliza migogoro ndani ya Muungano wenu mapema namna hii kabla hata hamjapewa ridhaa ya kuongoza taifa hili,je mkipewa?!si kila mtu atataka kuwa waziri huko mbele?!
CCM itaondolewa madarakani lakini sio mwaka huu, wala sio na UKAWA kupitia Lowasa wala Sumaye.
Itaondelewa tu muda ukifika, wapinzani wa kweli wakijipanga upya, na kudhamiria kuiondoa CCM kweli kweli.
Wapinzani wa kweli wanaweza toka ndani ya CHADEMA, au CUF au chama kingine imara.
UKAWA kwa sasa wenyewe hawajui inaongozwa na nani... ndo maana ameachiwa mzee mamvi apigane kufa kupona, lakini safari ya Ikulu hiyo mhhh... kila la heri lakini.
Ni maoni yangu tu, uko huru kuwa kinyume na mtazamo huu, huna sababu ya kunitusi.
Maskini! Unaelewe hata wewe mwenyewe ulichoandika hapa?Oct 25 mkapge kula uli msihaibke kutoka madarakan manake lowassss ninamwelewa san kuliko magufr. Misuko sko iko mahar popote ht majumban tunapoishi.