Recent content by RUMANYIKA

  1. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Huu ndio ulikua muda muafaka kwa vyama vyote vya wafanyakazi kutangaza migomo na madeni yao sugu. Wapi chama cha waalimu, wapi Tughe, wapi trawu.
  2. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Jukwaa Zuri na la Kipekee JF Ni Hili.....

    Sasa kama siri hazitolewi ww umekuja kunadi ilo jukwaa uku kwann? Uyo Invisible anakufunguria bila kumwomba?
  3. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo

    Huyu jamaa huwa haeleweki mara kule mwanzo ulisema chadema kuna udini na ukabila. Leo tena unageuka mara akiri kubwa haendani na akiri ndogo. Pasco wewe endelea na karata yako ya udini na ukabila kwa chadema acha porojo zingine.
  4. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Nadhani zile fedha zilizokua zimetengwa kwa ajiri ya misiba kitaifa zitumike ipasavyo muda wake ndio huu..
  5. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Pd port prooooooooxyyyyyy

    Store ni wapi mkuu?
  6. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia umeme kupanda Kuanzia January 2014!

    Hapa uwezi kuwaona hata mmoja. Wao wanachojua ni zitto na cdm na thread za upuuz puuz. Mambo yanayohusu jamii huwez kuwaona ------- wale..
  7. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa, Kamati ya Maliasili yawaka moto!

    Mkuu nakupongeza kwa kuliona hilo. Na huo ndo mkakati ambao Ndugai huwa nafanya kubalance munkari wa wabunge.
  8. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Kanunue Enzoy ni safi sana.
  9. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Carina bei cheap!!

    Ni pm mkuu 2fanye mazungumzo ya awali.
  10. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Endapo atakuwa Mwenyekiti Taifa: Zitto atamudu changamoto alizokutana nazo Mbowe?

    ntashangaa kutokuona buku saba camp kama hawatamiminika kwa wingi ktk hii mada.
  11. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Zitto Kabwe ndani ya Tabora - Julai 27, 2013

    Ntawaletea update lakini msiniulize kuhusu picha.
  12. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Mgimwa: Wabunge wenu ndio waliopendekeza kodi za simu sio serikali

    Kama watz hawataingia kwa road kwa ajiri ya suala hili basi kutakua na misukule ndio inayoongozwa huko.
  13. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa Mwigulu Nchemba.

    Wazazi wa mwiguru waishukuru chadema. Maana jamaa kwa jinsi wanavyomfuatiria imebidi awajengee wazazi wake. Mbona hakujenga wakati yuko BOT. Siasa sio mchezo mzuri.
  14. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

    Huyu mama omari kumbe anauguza mume halafu anapuyanga2. Jana alikuepo rukwa kwenye tamasha. R.I.P.
  15. RUMANYIKA

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa rasimu ya katiba.

    Leo ni uzinduzi wa rasimu ya katiba mpya. Uzinduzi huo unafanyika viwanja vya karimjee. Kuna vituo ya tv kama itv na tbc vinaonyesha live. Mgeni rasmi ni makamu wa rais na makamu wa kwanza wa rais toka znz. Karibuni tufuatirie. Baadhi ya viongoz wa vyama vya siasa wameonekana ila viongozi wa...
Back
Top Bottom