Pd port prooooooooxyyyyyy

LEONELL

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
398
225
Hii ni Vs Forums rules kumvunjia mtu heshima yake
Hapa ni mwendo wa Free Style kila mtu ana express alichonacho we kama unakereka bora kukaa kimya kuliko kumtukana binadamu mwenzako
Nakwambia hivi sio kuwa mm ni forum mod wala nn ila nimekereka kumuita mwenzako ANOTHER ***
umeona eeeh mi nilimsoma toka mwanzo huyu mdau sijui vipi yaaani nashindwa kumuelewa
 
LEONELL

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
398
225
habari wanajamvi naomba mnisaidie kama kuna uwezekano wakufanya sharing ya intaneti kwenye computer kwa kutumia https system ya tunnel guru kama ilivyokuwa inafanyika kwenye pd proxy sasa tatizo hii haina tap32 adapta.. msaada tafadhari kwa anayejua..shukrani
 
AlP0L0

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
5,074
2,000

Dah! Hii kitu hata mimi imetoa jasho, Ngoja tusubiri wataalam waje watupatie darsa hii ni JF maujuzi.
 
DEVUQUARTER-DEVUKOTA

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
358
195
Tokea DEVO wakate ile mirija ya kunyonyea watu wanaweweseka mno!!Kifupi hakuna open port kwa basi lile lililopinduliwa isipo kuwa zile route za pwani tu kwa lile bus la spana mkononi. Nadhani anchofanya huyu wanatamani ni mchezo wa kitoto coz atakuwa anaconnect na sim ambayo tayari ameiunga Bando na siyo 00 kama tulivyozoea. Wale watakao jaribu itawacost coz mkwanja utaliwa kabla kama wanadaiwa updates kwenye pc zao labda watumie kwa Kabaang ndo itakuwa afwadhali.Baadaye nitapandisha trick kule stoo najua siyo mpya but itawabeba wadau KRAPKA DAVINOOOO!!!
 
Last edited by a moderator:

Old Skuli

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
691
250

Safi sana mkuu,this is the kind of brevity and seriousness we always want to see.
Umbea na habari za kishakunaku hazifai....
 
alikhalef

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
722
225
habari wanajamvi naomba mnisaidie kama kuna uwezekano wakufanya sharing ya intaneti kwenye computer kwa kutumia https system ya tunnel guru kama ilivyokuwa inafanyika kwenye pd proxy sasa tatizo hii haina tap32 adapta.. msaada tafadhari kwa anayejua..shukrani

kaka naomba unifahamishe ulivyokuw aukifanya kwenye pd? miscall me 0779420000
 
SPYMATE

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
1,272
2,000
kaka naomba unifahamishe ulivyokuw aukifanya kwenye pd? miscall me 0779420000

Wote kizungu zungu!!
Kwa taarifa yako TG http tunnel ndiyo inasupport sharing kwa kucreate wi-fi hotspot utakayo tumia kwa simu au computer au kifaa chochote kinachohitaji net via wifi.
Aidha kwa hii TG unaweza kuconnect modem hata 10 na kupata speed ya ajabu.
Kinyume chake PD proxy hairuhusu kabisa sharing sema tu unaweza kutumia account yako kwenye pc yoyote hile yaani ukibeba software yako popote unatumia tofauti na TG wenye mambo ya TG no.
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,876

PD Proxy Vs Sharing

sasa kaka naomba utufahamishe....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom