Ukweli mchungu kwa Mwigulu Nchemba.

Ukweli mchungu kwa Mwigulu Nchemba.

Status
Not open for further replies.
Ndg wana jf. Mimi ni member humu naomba niweke wazi kuwa sijawahi kuugua hata malaria mpaka nilazwe ktk maisha yangu na sijawahi kulazwa popote ktk maisha yangu. Sijawahi kuugua kichaa wala malaria kupanda mithiri ya kichaa. Sijui mleta maada anamsemea mtu gani. Habari ya barabara haikwepo zamani sasa imetengenezwa mpka tax zinapita. Kijiji kiko kwenye mpango wa umeme ambao tayari umefika maluga. Kuhusu nyumba mleta maada hajui mimi nimeanza ubunge wazazi wangu wakiwa nyumba ya tembe. Ndio namalizia kuwajengea. Hivi hekima ni ipi ningeanza na nyumba yangu kweli wazazi wabaki kwenye nyumba ya udongo. Hizi ni siasa za maji taka
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Kwanini huu uzi umeachwa humu kwenye jukwaa la siasa?

Hata propaganda haziko hivi, huu si umbea na udaku wa machangudoa wakiwa mawindoni, sasa kwanini wana-JF tupokee upuuzi wa namna hii.

Mods, hemu pelekeni huu uzi jukwaa la vichekesho.

cc: Paw
 
Last edited by a moderator:
Ndg wana jf. Mimi ni member humu naomba niweke wazi kuwa sijawahi kuugua hata malaria mpaka nilazwe ktk maisha yangu na sijawahi kulazwa popote ktk maisha yangu. Sijawahi kuugua kichaa wala malaria kupanda mithiri ya kichaa. Sijui mleta maada anamsemea mtu gani. Habari ya barabara haikwepo zamani sasa imetengenezwa mpka tax zinapita. Kijiji kiko kwenye mpango wa umeme ambao tayari umefika maluga. Kuhusu nyumba mleta maada hajui mimi nimeanza ubunge wazazi wangu wakiwa nyumba ya tembe. Ndio namalizia kuwajengea. Hivi hekima ni ipi ningeanza na nyumba yangu kweli wazazi wabaki kwenye nyumba ya udongo. Hizi ni siasa za maji taka
Mwigulu Nchemba
user-online.png

Senior Member
verified.png

Likes Received141
Likes Given0
Mkuu, naona kuna tatizo hapa.

Kwenu hujafundishwa kushukuru?

Mkuu sio siri siasa zako za chuki zimenifanya nikuchukie.
 
Aslam alykum wanajf,

*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la iramba magharibi,kijiji cha makunda,nimeendelea kumlaumu mungu kwanini amenichagua kuwa mwalimu tena ktk wilaya hii ambayo hakuna maendeleo hata kidogo,

*ktk kijiji hiki cha mwigulu hakuna umeme,hakuna maji safi na salama,hakuna hata zahanati,kuna barabara mbovu,exactly hakuna cha maendeleo hapa nyumbani kwa mwigulu,

*Zaidi ya yote ikanibidi nifatilie maisha binafsi ya mbunge wa huku kiukweli ni hatari,;mwigulu hana nyumba hapa makunda ila akija anapumzikia kwenye nyumba ya kaka yake,nyumba ya kaka yake ndio ina solar kijiji kizima hivyo tunachaji simu zetu hapa kwa shs 1000,

>MWIGURU ALIWAHI KUPATA KICHAA;Mhe mwigulu alisoma mpaka darasa la tano na kisha kuachishwa shule kutokana na tatizo la akili lilokuwa linamkabili,Baada ya kuacha masomo alipotea kijijini hapo kwa miaka kadhaa na akakamatiwa ktk pori la misigiri,pori ambalo linahistoria ya kuwa kambi za majambazi wateka magari.
Nashukuru kwa taarifa mkuu maana umetufumbua macho na masikio sisi ambao tulikuwa hatujui habari hiyo,sasa kwa kutusaidia ingefaa utuwekee picha hapa japo tuone nyumbani kwa kichaa wa wakati huo kulivyo maana kusikia tu haitoshi.
Angalizo,jaribu kutoonekana ukipiga hizo picha maana huwezi jua kesho yako ikoje baada ya kuwa umetupa habari hii.
 
Mwigulu ni tishio kwa chadema. Yaani wanahangaika kila leo. Walijazana uchaguzi wa vijiji akawapigiza
 
Aslam alykum wanajf,

*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la iramba magharibi,kijiji cha makunda,nimeendelea kumlaumu mungu kwanini amenichagua kuwa mwalimu tena ktk wilaya hii ambayo hakuna maendeleo hata kidogo,

*ktk kijiji hiki cha mwigulu hakuna umeme,hakuna maji safi na salama,hakuna hata zahanati,kuna barabara mbovu,exactly hakuna cha maendeleo hapa nyumbani kwa mwigulu,

*Zaidi ya yote ikanibidi nifatilie maisha binafsi ya mbunge wa huku kiukweli ni hatari,;mwigulu hana nyumba hapa makunda ila akija anapumzikia kwenye nyumba ya kaka yake,nyumba ya kaka yake ndio ina solar kijiji kizima hivyo tunachaji simu zetu hapa kwa shs 1000,

>MWIGURU ALIWAHI KUPATA KICHAA;Mhe mwigulu alisoma mpaka darasa la tano na kisha kuachishwa shule kutokana na tatizo la akili lilokuwa linamkabili,Baada ya kuacha masomo alipotea kijijini hapo kwa miaka kadhaa na akakamatiwa ktk pori la misigiri,pori ambalo linahistoria ya kuwa kambi za majambazi wateka magari.

Kwa watu makini wanapima ukweli uko wapi kwa propaganda kama hizi chadema mnajiharibia wenyewe....
 
ndg wana jf. Mimi ni member humu naomba niweke wazi kuwa sijawahi kuugua hata malaria mpaka nilazwe ktk maisha yangu na sijawahi kulazwa popote ktk maisha yangu. Sijawahi kuugua kichaa wala malaria kupanda mithiri ya kichaa. Sijui mleta maada anamsemea mtu gani. Habari ya barabara haikwepo zamani sasa imetengenezwa mpka tax zinapita. Kijiji kiko kwenye mpango wa umeme ambao tayari umefika maluga. Kuhusu nyumba mleta maada hajui mimi nimeanza ubunge wazazi wangu wakiwa nyumba ya tembe. Ndio namalizia kuwajengea. Hivi hekima ni ipi ningeanza na nyumba yangu kweli wazazi wabaki kwenye nyumba ya udongo. Hizi ni siasa za maji taka

heading inatamka kuwa huu ni ukweli mchungu kwako,hapa niliponakagua daftari ya rusuha maalum ili zitolewazo na mkuu wa shule ili niilete ruhusa ya wewe kusimamishwa shule because of brain problems.
 
Yaaani chadema mwigulu mmoja ni zaidi ya chadema yote. Duh mnapata shida na kijana wa kazi. Uzushi wa waziwazi
 
nashukuru kwa taarifa mkuu maana umetufumbua macho na masikio sisi ambao tulikuwa hatujui habari hiyo,sasa kwa kutusaidia ingefaa utuwekee picha hapa japo tuone nyumbani kwa kichaa wa wakati huo kulivyo maana kusikia tu haitoshi.
Angalizo,jaribu kutoonekana ukipiga hizo picha maana huwezi jua kesho yako ikoje baada ya kuwa umetupa habari hii.

soon nitaweka mambo hadharani cha muhimu nahitaji usalama wa kazi yangu.
 
Wazazi wa mwiguru waishukuru chadema. Maana jamaa kwa jinsi wanavyomfuatiria imebidi awajengee wazazi wake. Mbona hakujenga wakati yuko BOT. Siasa sio mchezo mzuri.
 
...ccm kuna wagonjwa wengi wakina kriss,mwiguluu,nap.ee,..
 
soon nitaweka mambo hadharani cha muhimu nahitaji usalama wa kazi yangu.
Mungu atakulinda na yeye ndiye atakayefanikisha kila jambo juu yako hivyo usijali suala la kazi yako maana hukusomeshwa na wala hulipwi mshahara na Mwigulu hivyo huna haja ya kuogopa.Tuwekee picha tuone nyumbani kwa naibu katibu mkuu wa chama.
 
Ukiona ile picha ya Mbeya, midevu, magwanda ya ajabu ajabu utajua kweli huyu jamaa ni kichaa au anaelekea huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom