Kwa siku anakunya mara moja au mbili akizidisha sana tatu..ila kwa siku hizi anakunya mara moja tu asubuhi mpk kesho tena asubuhi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Habari zenu.. natumain ni wazima wa afya na wale wagonjwa poleni Mungu atawaponya.
Nina mtoto wa miezi mitatu huyu mtoto shida yake kwenye ukuaji yaan haongezeki kilo..alipata shida kidogo wakati alipozaliwa alikua hataki kunyonya ila baada ya wiki moja mbele alianza kunyonya..kwa sasa ana kilo...
Habari wanajf...
Naomba kuuliza au kupata msaada kwa tatizo la mtoto mchanga wa siku 3 kutapika uchafu kama damu pia kukataa kunyonya inaweza kusababishwa na nini..na tiba yake inaweza kuwa ni nini..
Asanten
Habari zenu.....
Mimi ni mkazi wa Dodoma mjini....pia ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesomea bachelor of arts with education (geography&history)
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza...natafuta kazi iwe formal au non-formal ili niweze kujikimu kimaisha.
Naomba wenye connection au wenye biashara...
Nimeelewa sana part ya mwisho apo
"KUTESEKA AU KUISHI KWA TABU LEO HAIMAANISHI HUKO MBELENI NDIO MAMBO YATAKAA SAWA THEN UTAISHI KWA RAHA. Usipokuwa makini unaweza ishi kwa msoto hadi ile siku unaaga. Uvumilivu unamipaka, ila umakini ni nguzo"
Thank you bro...
Habari zenu...
Mimi ni mhitimu wa chuo (2020) nilisoma BA.education katika chuo kikuu cha Dodoma..pia ni mkazi wa Dodoma
Kama mnavyojua maisha baada ya chuo huwa ni magumu kidogo kwa wahitimu wengi hasa ukizingatia soko la ajira ni gumu kwa sasa.
Ombi langu kwenu wanajamvi ni kwa yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.