Natafuta kazi..."graduate"

RUJEINER

Senior Member
Jan 18, 2018
129
152
Habari zenu...

Mimi ni mhitimu wa chuo (2020) nilisoma BA.education katika chuo kikuu cha Dodoma..pia ni mkazi wa Dodoma

Kama mnavyojua maisha baada ya chuo huwa ni magumu kidogo kwa wahitimu wengi hasa ukizingatia soko la ajira ni gumu kwa sasa.

Ombi langu kwenu wanajamvi ni kwa yeyote mwenye uhitaji wa mfanya kazi au mwenye connection ya ajira naomba tusaidiane ndugu zangu maana mtaani hali si shwari.

Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali ili niweze kumudu maisha. Jinsia yangu ni (Ke)

Natumai wenye uhitaji na connection watajitokeza humu kunisaidia.
 
Jamaa wa st.john alikuoa?au alikula makinikia akapotea?
 
Inshaallah Mungu atakupa hitaji la moyo wako. Kua na subira katika hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom