Recent content by Ruhlamin kiwango

  1. Ruhlamin kiwango

    Wodi Mpya ya wazazi Muhimbili tayari, Jionee Mwenyewe!

    Tanzania mpya inakuja chini ya jpm hyoo ndo Tanzania ya magufuli!!
  2. Ruhlamin kiwango

    Makonda ajihakikishia Ukuu wa Mkoa

    Nadhan kubenea leo ataumwa na homa ya agafla kusikia makonda alivyosifiwa na rais
  3. Ruhlamin kiwango

    Komredi Kinana achapa kazi maadhimisho CCM, kudhihirisha kauli ya hapa kazi tu kwa vitendo

    Hapa kazi tuuuu hongera comrade kinana sasa kazi tuu kujenga chama na taifa hyoo ndo ccm bwana
  4. Ruhlamin kiwango

    Komredi Kinana achapa kazi maadhimisho CCM, kudhihirisha kauli ya hapa kazi tu kwa vitendo

    Hapa kazi tuuuu hongera comrade kinana sasa kazi tuu kujenga chama na taifa hyoo ndo ccm bwana
  5. Ruhlamin kiwango

    Mwenyekiti wa Bunge, Mary Mwanjelwa akataa Hoja ya Mwakyembe

    Mkuuu jaribu kuwa makini na vitu unavyo post mwenyekiti wa bunge leo hakuwa mary mwanjelwa alikuwa najma yule mbunge wakutoka znbar
  6. Ruhlamin kiwango

    Yanayojiri Bungeni baada ya kamati ya uongozi kuketi

    Hata hyoo azam extra imeshakata matangazo ya live kutoka bungeni eti kwasababu ya hali ilivyo sasa wanahairisha kurusha matangazo mpaka hapo baadae
  7. Ruhlamin kiwango

    Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

    Vzr sana hlo gazet lilikuwa linapotosha sana umma
  8. Ruhlamin kiwango

    Tundu Lissu: Magufuli ni cross breed kati ya Sokoine na Mrema

    Kwel kbsa huyo ni mpuuuzi wa wapuuzi wote
  9. Ruhlamin kiwango

    Nape Nnauye awekwe anapopataka, 'anaidhalilisha' serikali ya JPM

    Hoja yako haina mashiko mzee tupatupa nape ni steel mwenezi wa ccm na ndo kazi yake kama mwenezi wa ccm
  10. Ruhlamin kiwango

    CHADEMA, Tunataka Moshi liwe JIJI

    Kwel kbsa tena wasifanye mchezo wamepewa ridhaa na wananchi wafanye kaz tunataka moshi yetu iwe jiji
  11. Ruhlamin kiwango

    Kinana yupo wapi na ni nani msemaji wa CCM?

    Hoja yako haina mashikoo ni ya maji taka huna cha kufanya unabaki kuchonga tuu
  12. Ruhlamin kiwango

    Hukumu kesi ya bomoa bomoa yaahirishwa mpaka kesho Januari 5

    wanapoteza mdaa wao kwenda mahakaman na huyo mbunge wao nyumba lazma zifunjwe hzo no way out
  13. Ruhlamin kiwango

    Wananchi wa Ngorongoro wamuambia Kinana wao ni CCM asilimia 100

    huyu ndo katibu mkuu anafanya kaz za chama ipasavyo ccm haijawahi kupata katibu mkuu mchapa kaz kama huyu kinana!!
Back
Top Bottom