General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Wabunge, madiwani na hata meya wa manispaa ya Moshi na wenyeviti wa halmashauri wote katika mkoa wa Kilimanjaro tunaomba muufanye huo mkoa kuwa mfano katika taifa hili.
Kwa muda mrefu manispaa ya Moshi imekuwa nyuma kimaendeleo licha ya wakazi wa mkoa huo ni wafanyabiashara wakubwa.
Tunataka mlete heshima ya mkoa huo, tunataka mboreshe biashara, utalii, miundombinu, shule na hospitali za mkoa huo.
Tunajua kwa sasa asilimia 70 ya wabunge na madiwani ni CHADEMA, hivyo hatutaki visingizio vya kitoto, hatutaki kusikia ufisadi katika mkoa huo.
Tunaomba mlete heshima kubwa katika mkoa huo.