KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Tangu CCM imepata ushindi wale waliozoeleka kutoa matamko katika TV sasa wamekimbia siwaoni tena hata Katibu Abdullaman Kinana ambaye alidriki kuita mawaziri mizigo naye kimya!
Sasa sijui siku nani msemaji wa CCM maana zamani kila mtu aliweza kusema chochote anacho jisikia leo wote kimya...basi hata kujisifu kupata Rais mchapa kazi!
Kimya kimya au hawafurahishwi na utendaji kazi wake? Ni swali nauliza.