singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa majengo ya Shule ya Sekondari ya Unyianga, Singida leo, ikiwa ni shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM yatakayofanyika kitaifa mkoani Singida
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupalilia katika shamba la mtama la mkulima wa kujitegemea Elisha Mdaa (kushoto) katika Kata ya Mtamaa, Singida leo, ikiwa ni shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM yatakayofanyika kitaifa mkoani Singida kesho. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni kuhimiza kila mwananchi kuchapa kazi.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi Jengo la Ofisi ya CCM Mkoa wa Singida leo, ikiwa ni shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM yatakayofanyika kitaifa mkoani Singida