Recent content by RUGAHIMBILA E R

  1. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Kamari ya Mpito Msikiti wa Ijumaa Mwanza inavyowatapeli wafanyabiashara

    Ndugu wewe unaongelea history ya family na kwa vigezo hivyo unavyovitaja ndiyo silaha wanayoitumia kwani watu wanajaribu kuwaamini kwa kutumia cv unayosema. Sibahatishi wala sibabaishi Juu ya hili ninazo concrete evidence za kuthibitisha hili na muda ukifika nitaanika nyaraka za watu wote...
  2. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Kamari ya Mpito Msikiti wa Ijumaa Mwanza inavyowatapeli wafanyabiashara

    Mods nisaidie kuedit neno Kamari lisomeke Kamati
  3. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Kamari ya Mpito Msikiti wa Ijumaa Mwanza inavyowatapeli wafanyabiashara

    Kamati ya Mpito inayosimamia Msikiti wa Ijumaa Jijini Mwanza imekuwa ikiwatapeli mamilioni ya fedha wafanyabiashara wa hapa kwa kuwalipisha pesa na kuwapa mikataba ya kupanga vyumba ambavyo tayari vinao wapangaji. Ajabu unakuta chumba kimoja kimelipishwa watu zaidi ya watano na wote wamepewa...
  4. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Gari aina ya Isuzu Bighoun

    Mkuu naona wewe hujawahi kumiliki wala huijui vizuri BIGHORN. Mimi ninayo model ya 1996 engine ya 4JG2 AT mwaka wa nane sasa na katika magari ambayo Japan walitengeneza kwa uimara kabisa ni hili. Halibagui barabara na limetulia sana barabarani. Mwanzoni kulikuwa na changamoto ya spare parts...
  5. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Anayebatiza mwaka Jina ni nani na ana sifa gani?

    2018 ===GANYIRA
  6. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania ATCL: Nauli ya Mwanza- Bukoba siyo haki

    Mkuu hivi umeelewa HOJA yangu kweli? Kuna haja gani ya kutukana? Mie sijaongelea hizo siasa zenu, nimejikita kwenye hali halisi ya mkoa wetu na changamoto za usafiri tulizo nazo na kwamba unafuu wa bei ungechagiza ukuaji wa uchumi kwa wananchi wengi kuutumia na kunufaika nao. Kamwe tusiufanye...
  7. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania ATCL: Nauli ya Mwanza- Bukoba siyo haki

    Salaam Wadau! Nimekuwa nikifuatilia taarifa mitandaoni kuhusu hizi nauli za ndege za AIR Tanzania kati ya Mwanza na Bukoba ambapo kwenda tu itakuwa shs 140000. halafu Mwanza to Dar tshs. 160000. Kama ndo kweli inakuwaje safari ya saa 1.30 ( Mza- Dar) itofautiane na safari ya karibu nusu saa...
  8. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Anatory Amani.....yule dr feki????? Je umeona anavyozomewa na kutukanwa hata kwenye kura za maoni. Inawe zekana na ni kweli Kagasheki hafai lakini Amani ni ovyo kabisa.
  9. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kumpokea Lowassa CHADEMA iwekwe kando

    Ukiweka ushabiki wa kisiasa, hapa kuna hoja muhimu inayotaka tafakuri mujarabu. Tusifumbe macho na fikra zetu kwa sababu yu ya uchaguzi wa octoba halafu tukaja kujuta baadae. Tuwe makjni.
  10. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Brigedia General Jason Musikula afariki dunia

    RIp Musikula
  11. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Samuel Luhangisa, Diwani wa Kitendaguro - Bukoba Mjini afariki dunia

    Kwa mujibu wa harakatinews.com mkuu wa mkoa wa zamani wa Ziwa Magharibi, Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini mstaafu na Meya mstaafu wa Bukoba amefariki dunia huko mjini New York USA alikokuwa akitibiwa. RIP COMRADE RUHANGISA
  12. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ajiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM

    Naomba nitofautiane na wachangiaji wengi hapa. Mie baada ya kusoma zile email alizokuwa akitumiana na Zito nilijua kabisa huyu kwisha unaibu katibu. Maana kwa nafasi yake kama kiongozi mwandamizi hapaswi kufanya mipango ya kukihujumu chama kwa kumuandalia Lowasa nafasi huko ACT. Nadhani hoja...
  13. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Lowassa ni Mwizi na Fisadi, Iweje Watu Hawa Wenye Heshima Wamuunge Mkono?

    kama lowasa siyo mwizi wala fisadi basi naapa hakuna fisadi wala mwizi hapa duniani na haya maneno yaani fisadi na mwizi yatolewe kwenye orodha ya maneno kwenye vitabu vyote kuanzia kamusi kwani hayana maana yoyote.
Back
Top Bottom