RIP Brig. Gen (Rtd) Jasson Msikula. Pole sana John Baguma kwa kufiwa na mpwa na rafiki yako mliyeshirikiana kwa mambo mengi tangu utotoni, pia Dada Regina kwa kupoteza mdogo wako mliyefuatana kuzaliwa, pia pole nyingi kwa wote walioguswa na msiba huu.